My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

Anayeroga ili apate macho matatu hata huko kashafumuliwa, bado hapo alimaliza chuo kwenye kutafuta kazi huko je??? Balaa zito

Anaekula bila wasiwasi ni mganga peke yake, so men mnashare madudu na waganga wale waojitangaza kutoa majini kwenye nguzo za umeme😀😀😀
Hahaha..........ila Waganga wanakula hizo kei balaa

Binti anaambiwa dawa inaingia kwa kuingizwa Dudu

Kuja kutahamaki, Mganga kamwagia ndani 😅🙌

Amchezaji anayetumia miguu yote kucheza, ndiyo habari ya mjini nowadays

Huoni akina Baba na familia zetu tunatekwa huko na michepuko 🙌
 
Mganga anawaambia mizimu inataka kukuonja kupitia mimi ndipo upate hitaji lako! Mwezi mzima unalala kwa mganga anakuogesha makaburini ni kuliwa tu😂💔
Dawa inaingizwq kwa boloz, unachomokaje hapo labda? Tena huko kwa waganga ndo wanakopewa mabalaa wanachafuliwa kiroho wanabaki km makopo tu,
 
Hahaha..........ila Waganga wanakula hizo kei balaa

Binti anaambiwa dawa inaingia kwa kuingizwa Dudu

Kuja kutahamaki, Mganga kamwagia ndani 😅🙌

Amchezaji anayetumia miguu yote kucheza, ndiyo habari ya mjini nowadays

Huoni akina Baba na familia zetu tunatekwa huko na michepuko 🙌
Saiv na wake wameanza kutoa line 2, ili kurudisha waume zao ndani, kwahiyo haishtui sana micheps wanaliwa na bado wanaachwa vizuri,, saiv sangoma ndo mambo yote unapewa line zote na kurogwa juu ndo mnatulia, vita ni kali mno
 
Mrija umekata anahaha 😹😹
Zamani kulikuwa na msemo hawara hana talaka

Yanini kufungiana vioo, mwambie anitafute

Mfalme Suleiman alikuwa na 700 na masulia 300, Mimi wawili kweli watanishinda?
 
Saiv na wake wameanza kutoa line 2, ili kurudisha waume zao ndani, kwahiyo haishtui sana micheps wanaliwa na bado wanaachwa vizuri,, saiv sangoma ndo mambo yote unapewa line zote na kurogwa juu ndo mnatulia, vita ni kali mno
Kumbe nimepitwa na mengi, labda kwakuwa Mimi na Bibi yenu tulizaliwa zamani

Ngoja nitafute mke mdogo sasa, nimechoka mambo ya kuhadithiwa

Yaani umri huu sijui ya Dunia kweli

Tutulie tu ili tuepushe kurogwa
 
Wee napokea kabla ya kutoa, mambo ya kwenda kushangaa juani sitaki😂
Sasa wenzio washavuka level za wakamiaji kutuma pesa kwenye simu. Unatakiwa kulevel up msichana…!!
Wazee wanatumia cheque, nenda unapewa cheque yako ndio unachezea rungu la kipepe..!! Weeh veepee buaanaa..!! 😹😹😹
 
Yani huwa nakasirika nikiona mtu anajitapa kutiwa ndio apate pesa ya kula mbele yangu arrgghhhh😖
Hivi siku hizi kuna demu utakwenda kuipiga bila kumpa hela

Kabla hamjaonana, anakwambia kabisa mtumie hela awaachie watoto wake chakula
 
Kumbe nimepitwa na mengi, labda kwakuwa Mimi na Bibi yenu tulizaliwa zamani

Ngoja nitafute mke mdogo sasa, nimechoka mambo ya kuhadithiwa

Yaani umri huu sijui ya Dunia kweli

Tutulie tu ili tuepushe kurogwa
Utafute bi mdogo ili umfirauni😱

Tulia na mzee mwenzio uku nje mambo ni hot hot!!, kurogwa ni pie😅
 
Kwa niaba ya Mzee mwenzangu ERoni jioni Kuna ofa yako ya dinner kwenye 5 star hotel

Hela huwa haitumwi, inatolewa kwa cheque

Msisitizo aende aifuate 🤗
Tatizo lake seran anajua nyie ni wale wanaume zake wanaoshinda wanabet bila kula 😹😹😹

Hajui nyie level za kina Lugumi.
Huyu mtoto anachezea fuko la pesa shauri zake..!!
 
Back
Top Bottom