My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

Woyooooooooo 🤸‍♀️🤸‍♀️
Babu nakutumia namba kabisa, bibi K naye na unatamba naye…!!

Kapeace una mishahara yangu ya miezi 3 jitahidi basi nipate mahi 😍
Kwenye hili sitaki kukuangusha

Nimeangusha sana udenda pale, sasa ni wakati wa kuona yaliyomo yamo 🤗
 
Mimi somo nimelielewa, japo in a very hardway.

Bahati nzuri sijawa mchoyo wa kushea, japo changamoto zetu Wanaume tukishasimamisha kile kichwa cha chini huwa wagumu kuelewa
Kuna mtu aliwahi kuniambia mzee akiinuka akili inalala kabisa, ndo maana inaaminikq kuwa mwanaume hawezi dinda kwa mama yake tu, na ndio maana jamii inashangaa ikitokea kuna fununu za mwana kula mama yake
 
mtoto wa kubebeshwa unalea tu wakuu, maana mtoto hana hatia, au mnasemsje wadau?
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia mzee akiinuka akili inalala kabisa, ndo maana inaaminikq kuwa mwanaume hawezi dinda kwa mama yake tu, na ndio maana jamii inashangaa ikitokea kuna fununu za mwana kula mama yake
Yaani Kuna majuto mengine tunajuta baada ya tendo

Yaani Ile ukimwaga tu, ndiyo unajua hivi kumbe sikuvaa ndomu

Ni kama vile shetani anakuwa ameshikilia akili zetu kwa muda

Kuna Mzee mwenzangu mmoja alim-kaba mtoto wa miaka 9, hata chuchu hana

Nikajiuliza inawezekanaje ukasimamisha kwa mtoto wa Rika hilo

Na kwa maumbile yetu Wazee, hivi inawezaje kupenya wakati kwa Bibi zenu tu ni hadi maandalizi yafanyike 🙌

Mungu atusaidie Wanaume
 
Kwakweli! Hawaangaliagi mbele hawa wadangaji wapumbavu! Kama alikuwa anaomba ela na anapewa so far utakuta aliishia kuvaa mawigi ya million na kupanda ndege kuwaringishia machangu wenzie😅
Huenda alizuzuka na ujana

Kuna wakati, Wanaume na Wanawake huwa hatuamini kwamba Kuna siku tutazeeka

Kuna siku umri utafika utashindwa kupiga hata round moja wakati ujanani ulikuwa unaenda round 5
 
Yaani Kuna majuto mengine tunajuta baada ya tendo

Yaani Ile ukimwaga tu, ndiyo unajua hivi kumbe sikuvaa ndomu

Ni kama vile shetani anakuwa ameshikilia akili zetu kwa muda

Kuna Mzee mwenzangu mmoja alim-kaba mtoto wa miaka 9, hata chuchu hana

Nikajiuliza inawezekanaje ukasimamisha kwa mtoto wa Rika hilo

Na kwa maumbile yetu Wazee, hivi inawezaje kupenya wakati kwa Bibi zenu tu ni hadi maandalizi yafanyike 🙌

Mungu atusaidie Wanaume
Duh huyo ni psycho aisee! Pedophile, takataka mbwa kabisa!😡
 
Huenda alizuzuka na ujana

Kuna wakati, Wanaume na Wanawake huwa hatuamini kwamba Kuna siku tutazeeka

Kuna siku umri utafika utashindwa kupiga hata round moja wakati ujanani ulikuwa unaenda round 5
Kwahiyo sisi wengine tulioacha vitupite ni washamba sana😅

Hmm hilo swala la round 1 sikuhizi ata vijana linawatesa sana! Hakuna cha mzee kiufupi hampishani sana😂
 
Wewe hao sio vijana hawatumi pesa kwenye simu, nenda ukapewe cheque ukadraw mwenyewe..!!

Mbona unataka kuishusha brand ya babu ERoni 😹😹😹
Kwa niaba ya Mzee mwenzangu ERoni jioni Kuna ofa yako ya dinner kwenye 5 star hotel

Hela huwa haitumwi, inatolewa kwa cheque

Msisitizo aende aifuate 🤗
 
Back
Top Bottom