My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

Hapo umesema Mjukuu, tuchukue hotel Kali yenye swimming pool

Ili mechi moja mnapigia humo mkiwa mnarushiana Maji huku vinywaji vyenu vikiwa pembeni 🤪

Hivi kweli nitafika mbinguni kwa style hii 🤪
Na kapeace alivyonona babu utafaidi wallah 😹😹😹
Ana lips nzuri na lile shape kazi unayo…!!
 
Ok, nini chimbuko la utii halisi?

Au kipi kinaufanya utii huu uwe halisi na huu uwe wa kuigiza?
Kujibia hili, ungekuwa umewahi kuwa na mahusiano ya siri na pia na familia ungeweza kupata majibu sahihi

Lakini ujue hayo yapo, na ni vitu viwili tofauti
 
Uzuri wa wadada wa mjini hawakubali kuzaa kijinga hivyo labda uwavizie wakiwa bado wajinga wajinga au huko mavumbini sema balaa lao ni ushirikina hapo kipengele wanaroga mnoo, wanashare dudu na waganga wa jadi, na nyota unaibiwa kwisha habari yako
Aiseee!! Mungu awasaidie hawa wanaume wanopenda kusuuza rungu kila kona! Wadada hawacheki na yoyote🙆🏽‍♀️

Kuna jirani yangu siku moja alioga dawa mbele yangu anasema hawa wanaume bila kuroga hawasikii kabisa! Nilikuwaga nasikia tu haya mambo, Kweli haikupita dk 10 huwezi amini, bwana alikuwa kampotezea mdada kwa muda ila ndio kachukua boda kutoka mjini jua kali kama nini akaja pale kwa huyo dada! Yani dada anaishi vzr na anakaa nyumba nzuri hana kazi kumbe ndio habari zake hizo kuchota wanaume kwa dawa🙌🏾
 
Unajua mengi sana Mjukuu kuhusu hayo mambo, umewahi kukutwa na huu msala kwa mtu wako wa karibu Nini?

Mitego ni mingi sana, kama hauna macho ya rohoni unaweza kuingizwa kwenye huu mtego
 
😹😹😹 Sasa huyo kijana alikuwa na zigo au mikao ilikuwa ya kinyani nyani mpaka mkachanana??
Em elezea vizuri mahi..!!
946C2AE2-945A-47E2-AF25-8323BF9E61C4.jpeg

Mambo kwa ground ni different 😂😂😂
 
Aiseee!! Mungu awasaidie hawa wanaume wanopenda kusuuza rungu kila kona! Wadada hawacheki na yoyote🙆🏽‍♀️

Kuna jirani yangu siku moja alioga dawa mbele yangu anasema hawa wanaume bila kuroga hawasikii kabisa! Nilikuwaga nasikia tu haya mambo, Kweli haikupita dk 10 huwezi amini, bwana alikuwa kampotezea mdada kwa muda ila ndio kachukua boda kutoka mjini jua kali kama nini akaja pale kwa huyo dada! Yani dada anaishi vzr na anakaa nyumba nzuri hana kazi kumbe ndio habari zake hizo kuchota wanaume kwa dawa🙌🏾
Ndo wanachofanywa acha wakomeshwe wao si wanasema ni wanaume acha wanyooshwe, mizizi inatafunwa sana wengine wanaweka dawa chini ya ulimi kiwango atakachosema ndicho hichohicho atahongwa, (hii niliishuhudia kwa mdogo wangu wa baba mkubwa) 2020-2021, lakini mwisho wake sio mzuri, saiv kachakazwa ovyo ovyo ndo anatafuta mume sasa aolewe, kafika hatua ya walau ampate mwanaume atakayempa pesa ya mahari apeleke kwao na kamkosa, kasharoga mpk basi mambo yamegoma
 
Unajua mengi sana Mjukuu kuhusu hayo mambo, umewahi kukutwa na huu msala kwa mtu wako wa karibu Nini?

Mitego ni mingi sana, kama hauna macho ya rohoni unaweza kuingizwa kwenye huu mtego
Nimeona mengi babu acha tu, pia hali ya maisha ni ngumu na wanawake tuna tamaa ya maisha mazuri ukiongeza na akili zetu fupi basi wengi wanafanya maamuzi ya kijinga
 
Ndo wanachofanywa acha wakomeshwe wao si wanasema ni wanaume acha wanyooshwe, mizizi inatafunwa sana wengine wanaweka dawa chini ya ulimi kiwango atakachosema ndicho hichohicho atahongwa, (hii niliishuhudia kwa mdogo wangu wa baba mkubwa) 2020-2021, lakini mwisho wake sio mzuri, saiv kachakazwa ovyo ovyo ndo anatafuta mume sasa aolewe, kafika hatua ya walau ampate mwanaume atakayempa pesa ya mahari apeleke kwao na kamkosa, kasharoga mpk basi mambo yamegoma
Hahahah umenikumbusha ile meme eti ikashabaki hivi😲 ndio tunapewa tusio na magari😂😂

Ukiwa mchoyo unaonekana mshamba! Basi sawa acha wajanja wa kugawa watuzidi kete kina siye😅
 
Back
Top Bottom