My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

Ndio maisha ya wanawake wengi mjini
Unakuta amewapanga Wanaume 7 tukiwemo na sisi Wazee

Unashangaa Binti baada ya round moja anaenda kuvaa, anasema mbona Mzee Juma anafanyaga kimoja tu

Usije ukamfia bure 😅🙌
 
Sasa wenzio washavuka level za wakamiaji kutuma pesa kwenye simu. Unatakiwa kulevel up msichana…!!
Wazee wanatumia cheque, nenda unapewa cheque yako ndio unachezea rungu la kipepe..!! Weeh veepee buaanaa..!! 😹😹😹
Kwenye cm kwanini wasitume!! na acc za benki si zipo🤣 hebu hukoo! Wazungu wenyew wanatuma kwa simu na wako mbali wao ndio kina nani mfyuuu!
 
Utafute bi mdogo ili umfirauni😱

Tulia na mzee mwenzio uku nje mambo ni hot hot!!, kurogwa ni pie😅
Hujaona hapo juu Kuna mambo ya kufinyiwa kwa ndani

Hata kama nitafia kwenye kinena sio mbaya, mbona Nzi anafia kwenye kidonda 🤭
 
Hicho ndicho nachowapendea🤗 sio hawa vijana njaa kali mb0@ ngumu🙌🏾

Ujageuka usawa huu imo😂 unatoka hapo miguu haisimami akhaa cha kufia nini!🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
Umepitia mengi sana mahi pole 🪑
Tea or coffee pls? 😹😹
 
Tatizo lake seran anajua nyie ni wale wanaume zake wanaoshinda wanabet bila kula 😹😹😹

Hajui nyie level za kina Lugumi.
Huyu mtoto anachezea fuko la pesa shauri zake..!!
Uweeh😂 wanaume zangu tayari umeshawajua! Basi jf haina siri za watu aisee🤣🤣💔💔
 
Unakuta amewapanga Wanaume 7 tukiwemo na sisi Wazee

Unashangaa Binti baada ya round moja anaenda kuvaa, anasema mbona Mzee Juma anafanyaga kimoja tu

Usije ukamfia bure 😅🙌
Watu wanaishi kwa vipindi mzee😂
 
Hicho ndicho nachowapendea🤗 sio hawa vijana njaa kali mb0@ ngumu🙌🏾

Ujageuka usawa huu imo😂 unatoka hapo miguu haisimami akhaa cha kufia nini!🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
Wazee hatuna mambo mengi

Mkishika maiki na kuanza kuimba, ndiyo mnatumaliza zaidi 🤭
 
Awamu hii tunakuzika we jichanganye tu
😅 Nipo tayari kufia eneo la tukio kuliko kupitwa na hizo raha

Presha ikinipanda katikati ya tukio, unajua Cha kufanya. Ni kunipa dawa zangu tu 🤪
 
Si ndio!!
Ukizingatia mimi ndio mwenye hizo kadi tano, nachukua somo ni correct mistakes za mwanzo zisijirudie kwa next victim🤗
uliwekaje kadi tano kwenye bahasha moja mkuu? moja weka kabatini, nyingine uvunguni, nyingine ndani ya wigi .... hukuwa serious kabisa
 
Back
Top Bottom