kwanini una mshauri akacheki DNA wakati kitanda hakizai haramu, sasa mbona umeanza kukanusha maneno ya wahenga wenzio🤔Nchi nyingi wana offer vipimo vizuri, ikiwemo Tanzania
Shida yetu ni kuingiza Siasa kwenye mambo ya msingi.
Kama uko serious nenda kacheki vipimo hata hapo bondeni kwa Madiba
Miaka ya 47 tuliweza kulea watoto hata kama sio wetu bila hofu ya kuja kupokonywa siku mojakwanini una mshauri akacheki DNA wakati kitanda hakizai haramu, sasa mbona umeanza kukanusha maneno ya wahenga wenzio🤔
Jambo la kushukuru, hayo matukio ni ya mwaka 47 😎Kwani wewe ulikuwa na malengo nae si umeandika ulikuwa unataka uipige usepe sasa yeye kwa nini akuonee huruma,Tulieni na ndoa zenu jamanii Mwanamke akishajua umemfanya mchepuko nae anakufanya kitega uchumi.
Ni dhahiri kwamba mwenzetu min -me huwa hasomi nyuzi yeye ni kugonga Tu like na kupita hivi👉Hoja kwenye nini Mkuu? 😅
Hapo kazi yake kubwa inayobakia ni kuwameneji tu msigongane 🤭Kabisa, Kila mmoja akituma hela ya Kodi laki 6 sita, kwa Madanga tayari anakuwa amekusanya milioni 3 hapo 🙌
Na wengi unakuta wana miliki laini za simu zaidi ya nne, hapo hakuna kujuanaHapo kazi yake kubwa inayobakia ni kuwameneji tu msigongane 🤭
Nina miaka mingi hapa JF, lakini sijawahi kubahatisha hata mmojaWaongo hawataki wapi buanaa 😹😹
Babu bibi kapita hapa mbona na kakumind kinouma..!!
Ila JF 🙌🙌
Babu hutaki masuria ya jf😂😂😂Mbona unaongea kama una uhakika Mjukuu
Masuria na Umri huu Babu yenu naanzia wapi?
Kumbuka Babu yenu nina ugonjwa wa Presha ujue 😎
Kumbe hata bibi hayupo humu😂Nina miaka mingi hapa JF, lakini sijawahi kubahatisha hata mmoja
Kila nikitupia ndoano, wananichomolea eti nimezeeka sana 🙌
Labda unipigie pande Mjukuu 🤗
Alafu hiyo kauli ya uwepo wa Bibi yenu hapa, kidogo inipandishe Presha maana najua timbwili lake akiamua 😅
Wapo wavumilivu, tulia humu ujiokotee🫴🏾😁Na Uzee huu naanzia wapi Mjukuu
Mambo ya sekunde 20 Binti gani atavumilia 🤪