My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

Waache waliwe pesa zao
 
Babu kwani miaka yenu ya 50, haya mambo yalikuwepo kumbe πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’.??
 
Jambo la kushea Wanaume wengi hatuwezagi kuvumilia sijui kwanini

Yaani hata uwe na mchuchu mkali vipi, ukisikia kuna wengine wanaichapa, mara zote hujiondoa taratibu
Kuna aina ya pisi unaweza uka I retain kama itakua na utulivu heshima Ile ile ya mwanzo hata kama unajua kabisa ilipigwa!!

Cha ajabu hawa viumbe ukijua TU mambo Yao ya Siri wanakubadilikia ili wewe ndio uonekane unabembelezea mahusiano,yaani wanatafuta ushindi ili kificha aibu yao wanaweza fanya lolote hata kukusingizia vitu vya kijinga jinga vile havina kichwa Wala miguu!!
Hata vya kudhalilisha kabisa!!
Na wakiona kama uliwekeza sana kwao na familia ndio hukuonyesha kiburi zaidi yaani aiseh!wanafikiri huna pa kwenda na unaweza nyanyasika kama Mzee wa miaka 70 kumbe kijana kabisa wa 36,38 Hadi 40!!

Unaingia mzigoni TU,akidai tuvitu vitu hasa manyumba haya ili apate pesa kwa mgongo wa "mali kwa ajili ya watoto" unasepa TU aiseh!

Ni bora ukaanza upya ukiwa na furaha kuliko kulia Lia ndani ya familia Yako mwenyewe uliyoijenga!!

Madem wengi ukishajua TU Siri zao,aiseh utapigwa sarakasi za kufa MTU Hadi utaomba poooh!!
 
Wanasema kuanza upya sio ujinga

Utapata shida mwanzoni, lakini baada ya muda utazoea na maisha mengine yataendelea kama kawaida
 
Babu kwani miaka yenu ya 50, haya mambo yalikuwepo kumbe πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’.??
Yalikuwepo Mkuu, useme tuliuishi msemo wa "Kitanda hakizai haramu"

Tunakufa na tai shingoni tu πŸ₯²
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…