mchokozi mpende
Member
- Sep 10, 2018
- 36
- 42
Pole mnono mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
It's hard time, but as the time goes on it will be better, pole sana Mkuu kwa changamoto.Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana Mungu akupe faraja idumuyo .. na akupe uvumilivu wa kimapendo, mpendwa Baba Apumzike kwa AmaniTumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Duh pole sana mkuu. Waruhusu wazazi wote wapumzike .Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana Mungu akupe faraja idumuyo na mpendwa Baba apumzike kwa AmaniPole sana nimepoteza Baba yangu toka February lkn mpk leo nashindwa kufuta namba yake. Pole sana sana mkuu. Hata nikipita pale kisutu sitaki kutazama upande ule wa makaburi.
Pole sana nimepoteza Baba yangu toka February lkn mpk leo nashindwa kufuta namba yake. Pole sana sana mkuu. Hata nikipita pale kisutu sitaki kutazama upande ule wa makaburi.
Pole sana mkuu, ila kumbuka kushukuru kwa kila jambo na shukuru kwa kila nenoTumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole Sana mkuuTumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana Mkuu. Yule chizi alaaniwe milele.Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo