TANZIA My dad is gone

TANZIA My dad is gone

Pole sana Mkuu Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja kipindi hiki kigumu kwenu na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi AMEN 🙏🏾
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I lost my mother 4th February this year

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
 
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I lost my mother 4th February this year

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
It's hard time, but as the time goes on it will be better, pole sana Mkuu kwa changamoto.
 
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I lost my mother 4th February this year

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana Mungu akupe faraja idumuyo .. na akupe uvumilivu wa kimapendo, mpendwa Baba Apumzike kwa Amani
 
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I lost my mother 4th February this year

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana mkuu, ila kumbuka kushukuru kwa kila jambo na shukuru kwa kila neno
Naomba nilete story flani chapchap;
Kuna pastor alienda kweny msiba wa mzaz wa mtu flani, sasa kweny msiba wakati anaomba yule pastor akasema "nakushukuru muumba kwa sababu mtu huyu hatunaye tena maana asingeli kufa sijui nn kingetokea", yule jamaa aliefiwa akakasirika kwa maneno ya yule pastor, akaazimia rohoni mwake amuue yule pastor, kuna siku akamkaribisha yule pastor na familia yake nyumbani kwake kulikuwa na sherehe ya Huyo jamaa. Kumbe jamaa amepanga kumwekea sumu yule pastor na familia ake kweny msosi wao, saa za kula sasa wanataka kula yule pastor na familia ake pale mezani, Simu yake pastor ikaita alivopokea akapata taarifa mtoto ake ambae hakuwepo kweny hio sherehe amepata ajali bhana na yupo mahututi, ilibidi waache kula wakimbilie hospitali, walivofika hospital walikuta kijana wake amefariki. Siku ya msiba ulivofika yule pastor akatamka maneno yaleyale akasema " nakushukuru muumba kwa sababu mtu huyu hatunaye tena maana asingeli kufa sijui kingetokea nn" yule jamaa aliopanga kuwawekea sumu acha aanze kulia machozi maana hapo ndipo alipoelewa maana ya ile sentensi
 
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I lost my mother 4th February this year

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana Mkuu. Yule chizi alaaniwe milele.
 
Back
Top Bottom