TANZIA My dad is gone

TANZIA My dad is gone

Pole sana mkuu Mwenyezi Mungu aendelee kuwapa faraja katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na baba
 
Pole sanaa mkuu ndo njia yetu sotee
Kaitikia witoo wa Muumba wake
 
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I lost my mother 4th February this year

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana. Jipe moyo. Mungu ni baba wa yatima. Atakushika mkono.
 
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I lost my mother 4th February this year

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana. We si wa kwanza wala wa mwisho mwanangu. Wote njia ni moja japo shida hatujui lini na nani ataanza au kumalizia
 
Back
Top Bottom