Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Sana ndugu yangu...karibu kwenye chama chetu Cha uyatima aise ni zaidi ya miaka 20 sasa ila sijazoea naona kma Jana tuTumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana. Jipe moyo. Mungu ni baba wa yatima. Atakushika mkono.Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana. We si wa kwanza wala wa mwisho mwanangu. Wote njia ni moja japo shida hatujui lini na nani ataanza au kumaliziaTumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo