My dear fellow Member ! Habari hii , na wewe unayo? (Kumhusu mpenzio!)

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Kwamba wewe unaeperuzi hapa , ima uwe Njemba (Me) ama uwe Shori (Ke)

Una mpenzi wako mnaependana sana kwa dhati ya nafsi zenu .

Pamoja na kupendana huko , watambua ktk suala la kumlinda mpenzio huyo , ya kwamba unamlinda asikuchiti !

Huko kulinda ni mithili ya kulinda Bahari !
Ukilinda Bagamoyo , kwengineko Pemba , Mtwara , Tanga , Lindi , Mafya watu wanaogelea na kujivulia Mifishi ya afya!
Ukilinda Kunduchi , Kigamboni watu washaogelea na washavaa nguo! Fish sio tena wanavua laa! Washawamanga unakuta wana stiki midomoni .

My dear habari hii unayo?
 
Wakati flani niliwahi kuwasikia wazee wenye hekma , wakisema "Mwanamke pekee awezae kujua actually/exactly mumewe/hawara wake yuko wapi na anafanya nini ni Mjane tu!"
Na kinyume chake ni Mgane tu ndiye ajuae mkewe/hawara wake kwa mfano huohuo.
 
hakuna noma kaka ila kumchunga mkeo au mwanamke wako ni kujipotezea muda,kama ulivyosema mwanamke ni kama bahari na huwa anajichunga mwenyewe.
Nalog off

Sa umchunge ili iweje? Kwani wakiitumia inapotea? Au nanhii yako ilichongeshwa kufit kwake tu?
 

Kizuri kula na wenzako😜😜
 
Wakati flani niliwahi kuwasikia wazee wenye hekma , wakisema "Mwanamke pekee awezae kujua actually/exactly mumewe/hawara wake yuko wapi na anafanya nini ni Mjane tu!"
Na kinyume chake ni Mgane tu ndiye ajuae mkewe/hawara wake kwa mfano huohuo.

duuuu...... Wahenga waongoooo!!!!! Sasa huyo mgane/mjane atajuaje mwenzie anafanya nini kwa kaburi? Hao wa henga si ndio waliosema siri ya kaburi aijuae maiti??
 
duuuu...... Wahenga waongoooo!!!!! Sasa huyo mgane/mjane atajuaje mwenzie anafanya nini kwa kaburi? Hao wa henga si ndio waliosema siri ya kaburi aijuae maiti??

Kijiricho baina ya Mungu na maiti wako , awae yeyote hakuna ajuae!
Kijulikanacho ni "a certain deceased was laid to grave!" nothin else !
Kwamba wahenga waongo , siamini .
 
Kizuri kula na wenzakoí-½í¸œí-½í¸œ

Sio cha hivi !
Ukiona kizuri ambacho hata Babio mzazi hupashwi sio kumpa tu , hata kumuonjesha haiwezekani kwa mujibu wa kanuni, that's an individual item!
 
Sio cha hivi !
Ukiona kizuri ambacho hata Babio hupashwi sio kumpa tu , hata kumuonjesha haiwezekani kwa mujibu wa kanuni, that's an individual item!

Mkuu nlikuwa natania tu, I stand to be corrected
 
Wakati flani niliwahi kuwasikia wazee wenye hekma , wakisema "Mwanamke pekee awezae kujua actually/exactly mumewe/hawara wake yuko wapi na anafanya nini ni Mjane tu!"
Na kinyume chake ni Mgane tu ndiye ajuae mkewe/hawara wake kwa mfano huohuo.

Aisee! hii ni sayansi ya jamii
 
KakaKiiza alisema unachunga kokobeach wengine wanavua ununio hahahhaha binadamu hachungwi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…