My Ex Wife anateseka sana, nifanyeje?

Katika ubora wako my dear, wewe ni mshauri mzuri Paula Paul
 
...Anayopitia, Hayakusu. Huyu ni Ex wako tu, baasi!
 
Mwanamke akishakukana na kwenda kwa mwanaume mwingine it means hakuwahi kukupenda.

So kwa hii situation yako, it means huyu mwanamke wako mbali tu na kutokuwa na akili, anaonesha ni wale wanawake wa mjini wenye tamaa ya maisha ya utelezi. Alikukimbia wewe sababu hakuwa tayari kupambana kutafuta maisha na wewe.

Amekwenda amekutana na hatima ya maamuzi yake. Wewe tumia hii fursa kuenjoy picha la kisasa wakati yeye akivuna alichokipanda na matamaa yake.

Mshahara wa mwanamke mpumbavu ni kama hivyo. So wewe wala usihangaike nae. Jikaze najua huwa ni ngumu sana kumtoa moyoni mtu uliyempenda bila kujua analikuwa na nia mbaya na wewe kwa baadae.

So wewe hapo chukua popcorn utazame mtu anavyochezea kichapo cha mwanamke mpumbavu.
 
Kumbe huwa tunatishwa tu na shangazi kwamba dhambi isiyosameheka kwa mumeo ni kulala na mwanamme mwingine!kumbe tunaweza hata na kuolewa kabisa Bado waume zetu mkaendelea kutupenda?mleta Uzi una roho nzuri Sana.
 
Kumbe huwa tunatishwa tu na shangazi kwamba dhambi isiyosameheka kwa mumeo ni kulala na mwanamme mwingine!kumbe tunaweza hata na kuolewa kabisa Bado waume zetu mkaendelea kutupenda?mleta Uzi una roho nzuri Sana.
Na avatar tumebadilisha yn safiii.
 
Sijatafuta,Nimeletewa.He was admitted in hospital na daktari aliyemtibu happened to know about us ad informed me.
Kaka, unafikiri ni jukumu lako wewe kuanza kutafuta suluhisho la matatizo ya huyo mke wa mtu?
Akichoka na hivyo vipigo atatafuta solution,au wewe unahisi anahitaji msaada wako ila anashindwa kukuambia?
A gekuwa anahitaji msaada wako angeweza hata kumtumia mdogo wake kukufikishia ujumbe.
Binafsi naona ungeendelea na mishe zako labda kama bado unampenda lkn bado hiyo haikufanyi wewe kulibeba hilo jukumu,yeye ni mtu mzima.
 
Ingependeza kama ungesema "Mtalaka wako" na ungepata ushauri mzuri. Lakini ulipotumia Ex wengine tumefikiri unamaanisha External hard disk drive.

Acha kujipa mizigo isiyokuhusu
 
Saikolojia inasema kadri unavyopata shida kumuacha mtu,ndivyo hivyo hivyo na yeye,anapata shida kukutoa moyoni....ila cha muhimu zaid,kuwa bize kuangalia anataka nn mkeo/mchumba wako wa sasa kuliko kufuatilia ndoa ambayo kila mmoja alisha "MOVE ON"....

______tafuta hela zaid,na zaid...na mpende anayekuheshimu(mkeo wa sasa anastahili hiii)... basi______
 
Acha wanawake waitwe wanawake! Kuna star niliwahi msikia anasema ana mtaka mwanaume ambaye akikosea anasimama kama mwanaume, sio yule ambaye ana shindwa mrekebisha anapokosea.
Ko' unaweza ona jamaa mkatili kumbe wife wake ana enjoy na kumuona ni gentleman, usidhani kuwa kimya all the time ndio kivutio kwa wadada wote.
As long as it does not affect your child, leave her alone. Mind your business, unless otherwise this will bring you in serious problem. Remember she is now someone's wife.
 
Hapo wewe udili na namna ya kumsaidia mtoto wako hayo mengine ni yao sasa wewe unamjutia kwa lipi.Kuna watu mnavisa sasa jipendekeze utajuta twice seems huwezi kujifunza na mbaya zaidi unaonekana unampenda huyo.Binafsi mwanamke au mtu yeyote anikatae kwa sababu zozote huwa nashukuru na sijawahi na sitowahi kunibembeleza au kumlazimisha mahusiano, never demu tu sirudigi Mara mbili sembuse aliyekimbia mwenyewe
 
Acha kuingilia ndoa za watu yeye hajakueleza Kama ananyanyaswa, karidhika wewe una shida gani?
 
Mtoto anaishi kwa nani?, watoto huathirika sana kwenye hizi nyumba zenye ukatili uliokithiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…