Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
Nzuri Dr hyperkidhabari yako binti yangu
Nzuri Dr hyperkidhabari yako binti yangu
Hawa watu wa Ndoa ni wajinga Sana, hatusallimiani miaka na miaka ila akitarajia kuoa utamuona anaanz akusalimia, stori za hapa na hapa, baada ya wiki utasikia " Nataka kuoa naomba sapoti yako" 🤣🤣Habari wakuu.
Huu ni upuuzi umezidi yaani tuna miaka 7 plus hatujawahi hata kuwasiliana ,then mtu anakuunga kwa group la whatsup la harusi yake ,
Nini hiki ,alafu akuuliza unaahidi shilingi ngapi kila baada ya siku simu kibao ,so mkiwa na shida ndo mnakumbuka watu huu ni ujinga tena ujinga kiwango cha lami ,mie sikwepeshi nimemtoa mtu nishai Leo nonsense.
Very simpleSiyo simple mkuu yaani Acha tu
Sjui kwaninii nlikubali wale morani wakanitoa govinda langu 🤣🤣 huyo jamaa wa mbele limejifunga vizur kwelkwel kama kichwa cha baloonNgoja tukamsikilize nayeye kwa upande wake
View attachment 3652726
Huyo ndiye rafiki mzuri, hakusumbui bila ya sababu ya muhimu.Habari wakuu.
Huu ni upuuzi umezidi yaani tuna miaka 7 plus hatujawahi hata kuwasiliana ,then mtu anakuunga kwa group la whatsup la harusi yake ,
Nini hiki ,alafu akuuliza unaahidi shilingi ngapi kila baada ya siku simu kibao ,so mkiwa na shida ndo mnakumbuka watu huu ni ujinga tena ujinga kiwango cha lami ,mie sikwepeshi nimemtoa mtu nishai Leo nonsense.
Hua naleft group na kuli reportHabari wakuu.
Huu ni upuuzi umezidi yaani tuna miaka 7 plus hatujawahi hata kuwasiliana ,then mtu anakuunga kwa group la whatsup la harusi yake ,
Nini hiki ,alafu akuuliza unaahidi shilingi ngapi kila baada ya siku simu kibao ,so mkiwa na shida ndo mnakumbuka watu huu ni ujinga tena ujinga kiwango cha lami ,mie sikwepeshi nimemtoa mtu nishai Leo nonsense.
Pole sana. Huu utamaduni sometimes unaumiza kama upo ktk hali flani ya kutomudu. Mbaya zaidi sidhani kama Kuna atakayekuelewaKuna wengine wanawajukuu unashangaa umeungwa kwa group wanataka mchango wafunge ndoa.
Hapa niko kwa magroup zaidi ya nane yote wanataka nichangie ndani ya miezi miwili.
Hii Kwa Afrika ni ngumu sana. Unaweza tengwa kama unataka uwe pamoja na jamii. Ni idea nzuri maana kuna maisha baada ya harusi.Huko duniani kuna ndoa wameshiriki watu 7 tu, ni vizuri watu kuiga; mke/mume ni wa kwako tu, sisi wachangiaji tutakula kwa macho tu.
NimekupataHuyo ndiye rafiki mzuri, hakusumbui bila ya sababu ya muhimu.
Sasa wewe unataka rafiki wa kupotezeana muda kuwasiliana kila siku wakati hakuna kitu cha muhimu?
Suala la mchango kama huna pesa au hutaki kuchangia mwambie tu.