My girlfriend has a girlfriend

My girlfriend has a girlfriend

dah,rafiki yangu (sio mchumba) wa kike yeye alinambia juzi katongozwa na msichana na ni mwana chuo mwenzake,sikujua kama haya mambo yapo Tanzania hii
 
Nimesikitika sana na hii story. Angetupa jina tungemuweka kwenye maombo moja kwa moja. Hvi kweli huyu shetani anayejiiuna kuharibu ndoa za watu?

GOD have mercy on us.
 
AD..
Mimi naomba tu kuuliza, hivi haya yametokea hapa kwetu Tanganyika au huko kwa wenzetu walioendelea? Mhh...mi nakuwa kama Thomaso..mhh!

pls n pls stop being thomaso
umesoma shule gan?
kwakweli mosh i tabia imezd kule machame,kilaen ,mawenz ,weruweru,ashira ...na ile ya masista pale....
yan ni kero
ukifika form5 wale wadada wa form 6 wanajifanya kuanzisha udota na umama wa shule bas pale ndo mwanzo na km wewe ulikuwa kwenu unadekezwa apo chacha ...atakudekeza,mtakumbatiana kumbatiana na usiku ule mtindo wa kujenga kijumba na kulala wawili kwa wasichana kawaida bas ndo pale ...mara mmeshikana ziwa ..mara mmeshkana.....mara uyu kamzamia uyu...then here we gooooooooooooooooooo ndo kamchezo daily ..na awa bnadamu wana wivu hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

unaendaga club dada?
ahh mi mara kibao nimetongozwa..ni kawaida yaan na km ukiwa hausuki ivi unalow cut...ahh iyo ndo sign kubwa bas utafutwa wewe hatari..nenda maisha nenda bills uko ndo kuna vtuko mara nyng mademu kupeana denda ni kawa sana.....
ukienda machuon apo dahh acha ..hasa hasa nenda kitivo cha sheria kule kwenye wakenya/wauganda weng ...ahhh kwa raha zaooooooooooo...couples kibaooooooooooo..
kndon kuna mbibi mtu mzima lakin msagaj na anajulikana ..kule temeke kuna mdada yaan dzain mamahadija tu lakin msagaji sasa uyu utajiuliza kajifunzia wap manake ajaenda shule wala hana exposure kiivo lakin msagaji...

shetaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaan....
usiwe tomaso amini watu awa wapo....
 
Pole sana Keren mie nilikuwa Thomaso kama wewe lakini sasa nashuhudia hapa Job kwangu kuna Couples za Kike ,
Jamani kweli wazazi tunajipatia watoto
Mama mkwe na yule wa kwangu asije akaingia kwenye hilo kundi banaa naweza ku-faint mimi l.o.l
 
nope, anaweza kabisa kuishi na familia yake vizuri huku akiishi na GF wake
!!huh,i wish if i could meet this kinda of gal

Ameshasema hafurahishwi tena na penzi la mumewe
Mambo yote GF anampa kitu roho inapenda
anataka kwenda kufaidi hilo penzi kwa uhuru bana
wasiliana na Afrodenzi atakupa mawasiliano
 
Pole sana Keren mie nilikuwa Thomaso kama wewe lakini sasa nashuhudia hapa Job kwangu kuna Couples za Kike ,
Jamani kweli wazazi tunajipatia watoto

FL.. Mhh! haya dear.... Sijui ndo maendeleo hayo?! Mhh.... Mungu aturehemu kwa kweli.
 
mhh mambo mengine mazito kwa kweli nimejiuliza alianzaje anzaje mpaka vimemkolea kihivyo nimekosa jibu...khaa dunia kwa kweli tambara bovu.
 
mhh mambo mengine mazito kwa kweli nimejiuliza alianzaje anzaje mpaka vimemkolea kihivyo nimekosa jibu...khaa dunia kwa kweli tambara bovu.
Nyamayao mimi kuna wadada takribani 10 hivi najua wanafanya haka kamchezo na wako-open kabisa wao wanakwambia siku wakifanikiwa kulala na wewe(Msichana mwenzao) usiku mmoja the very next day utaomba kuendeleza hako kamchezo
 
Shetani ana nguvu sana mwambie huyo dada afunge na kufanya maombi maana atakapo angukia ni aibu kwa ndugu zake na mumewe na mtoto wao,
Halafu my dia jaribu kumuogopa kimtindo asije kukubaka bure.

Hivi kumbe na wewe siku moja moja unakuwa na ushauri wa maana?
 
mhh mambo mengine mazito kwa kweli nimejiuliza alianzaje anzaje mpaka vimemkolea kihivyo nimekosa jibu...khaa dunia kwa kweli tambara bovu.
nyamayao sjui kwanini nimejiskia kukusalimia kwa kiingereza aisee. how r u sweetheart?
sasa nimeridhika, siku yangu imekamilika, acha nilog out.
mkuwe na mchana mwema.

:focus:
 
pls n pls stop being thomaso
umesoma shule gan?
kwakweli mosh i tabia imezd kule machame,kilaen ,mawenz ,weruweru,ashira ...na ile ya masista pale....
yan ni kero
ukifika form5 wale wadada wa form 6 wanajifanya kuanzisha udota na umama wa shule bas pale ndo mwanzo na km wewe ulikuwa kwenu unadekezwa apo chacha ...atakudekeza,mtakumbatiana kumbatiana na usiku ule mtindo wa kujenga kijumba na kulala wawili kwa wasichana kawaida bas ndo pale ...mara mmeshikana ziwa ..mara mmeshkana.....mara uyu kamzamia uyu...then here we gooooooooooooooooooo ndo kamchezo daily ..na awa bnadamu wana wivu hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

unaendaga club dada?
ahh mi mara kibao nimetongozwa..ni kawaida yaan na km ukiwa hausuki ivi unalow cut...ahh iyo ndo sign kubwa bas utafutwa wewe hatari..nenda maisha nenda bills uko ndo kuna vtuko mara nyng mademu kupeana denda ni kawa sana.....
ukienda machuon apo dahh acha ..hasa hasa nenda kitivo cha sheria kule kwenye wakenya/wauganda weng ...ahhh kwa raha zaooooooooooo...couples kibaooooooooooo..
kndon kuna mbibi mtu mzima lakin msagaj na anajulikana ..kule temeke kuna mdada yaan dzain mamahadija tu lakin msagaji sasa uyu utajiuliza kajifunzia wap manake ajaenda shule wala hana exposure kiivo lakin msagaji...

shetaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaan....
usiwe tomaso amini watu awa wapo....

Yaani Rose....ndo umenimaliza kabisa...!!! Yaani haya mambo ndo yanaanzia huko kwa shule za wasichana....jamani jamani...mabinti zetu wataponea wapi jamani???!!! Mhhh...haya asante kwa kunifumbua macho...maana nilikuwa naishi nafikiri huku kwetu bado tuko gizani....mhhh!!!!
 
naizo habar zenu za kuwapeleka watoto shule za masista....mh mhh mhh
et unampeleka mwanao toka primary boardng mhh wazaz mnaharbu watoto wenu

ukimpeleka mtoto boardng akiwa bado mdg madhara ni ayo ikiwemo usagaji na USHOGA..
ET UNAMPELEKA UG SJUI KENYA....ahh jaman msifanye ivo...
nampeleka mwanangu kifungiro ...hah hahh haaaa let me laugh....
mkae na watoto wenu mpk watakapokuwa
muwafunze nyinyi maadili ...mkiwapeleka uko boardng tangu wakiwa na 3yrs old bas unamtengeneza mwanao awe ..MODERN TOLL.....thats hana wala hatajua maadil yeyey ataish km robot kusoma na kufanya lolote kwa raha zake pasipo kujali MAADILI .
 
Hivi ni suala la kuhitaji ushauri? hayo mapenzi yakike hivi yakoje, hebu nihabarishe. Ila maisha ya siku hizi yanatia kinyaa sana.
 
Back
Top Bottom