Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inawezekana huyu mdada ni jirani yako. tahazari Heren Kappuch wangu.
AD..
Mimi naomba tu kuuliza, hivi haya yametokea hapa kwetu Tanganyika au huko kwa wenzetu walioendelea? Mhh...mi nakuwa kama Thomaso..mhh!
Mama mkwe na yule wa kwangu asije akaingia kwenye hilo kundi banaa naweza ku-faint mimi l.o.lPole sana Keren mie nilikuwa Thomaso kama wewe lakini sasa nashuhudia hapa Job kwangu kuna Couples za Kike ,
Jamani kweli wazazi tunajipatia watoto
Hapa kwetu Tanganyika wanafanya kisirisiriAD..
Mimi naomba tu kuuliza, hivi haya yametokea hapa kwetu Tanganyika au huko kwa wenzetu walioendelea? Mhh...mi nakuwa kama Thomaso..mhh!
nope, anaweza kabisa kuishi na familia yake vizuri huku akiishi na GF wake
!!huh,i wish if i could meet this kinda of gal
khaaaa! yupo India ameajiriwa kuweka chorus nyimbo za kihindi.
Pole sana Keren mie nilikuwa Thomaso kama wewe lakini sasa nashuhudia hapa Job kwangu kuna Couples za Kike ,
Jamani kweli wazazi tunajipatia watoto
Nyamayao mimi kuna wadada takribani 10 hivi najua wanafanya haka kamchezo na wako-open kabisa wao wanakwambia siku wakifanikiwa kulala na wewe(Msichana mwenzao) usiku mmoja the very next day utaomba kuendeleza hako kamchezomhh mambo mengine mazito kwa kweli nimejiuliza alianzaje anzaje mpaka vimemkolea kihivyo nimekosa jibu...khaa dunia kwa kweli tambara bovu.
Shetani ana nguvu sana mwambie huyo dada afunge na kufanya maombi maana atakapo angukia ni aibu kwa ndugu zake na mumewe na mtoto wao,
Halafu my dia jaribu kumuogopa kimtindo asije kukubaka bure.
nyamayao sjui kwanini nimejiskia kukusalimia kwa kiingereza aisee. how r u sweetheart?mhh mambo mengine mazito kwa kweli nimejiuliza alianzaje anzaje mpaka vimemkolea kihivyo nimekosa jibu...khaa dunia kwa kweli tambara bovu.
pls n pls stop being thomaso
umesoma shule gan?
kwakweli mosh i tabia imezd kule machame,kilaen ,mawenz ,weruweru,ashira ...na ile ya masista pale....
yan ni kero
ukifika form5 wale wadada wa form 6 wanajifanya kuanzisha udota na umama wa shule bas pale ndo mwanzo na km wewe ulikuwa kwenu unadekezwa apo chacha ...atakudekeza,mtakumbatiana kumbatiana na usiku ule mtindo wa kujenga kijumba na kulala wawili kwa wasichana kawaida bas ndo pale ...mara mmeshikana ziwa ..mara mmeshkana.....mara uyu kamzamia uyu...then here we gooooooooooooooooooo ndo kamchezo daily ..na awa bnadamu wana wivu hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
unaendaga club dada?
ahh mi mara kibao nimetongozwa..ni kawaida yaan na km ukiwa hausuki ivi unalow cut...ahh iyo ndo sign kubwa bas utafutwa wewe hatari..nenda maisha nenda bills uko ndo kuna vtuko mara nyng mademu kupeana denda ni kawa sana.....
ukienda machuon apo dahh acha ..hasa hasa nenda kitivo cha sheria kule kwenye wakenya/wauganda weng ...ahhh kwa raha zaooooooooooo...couples kibaooooooooooo..
kndon kuna mbibi mtu mzima lakin msagaj na anajulikana ..kule temeke kuna mdada yaan dzain mamahadija tu lakin msagaji sasa uyu utajiuliza kajifunzia wap manake ajaenda shule wala hana exposure kiivo lakin msagaji...
shetaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaan....
usiwe tomaso amini watu awa wapo....
Yaani Rose....ndo umenimaliza kabisa...!!! Yaani haya mambo ndo yanaanzia huko kwa shule za wasichana....jamani jamani...mabinti zetu wataponea wapi jamani???!!! Mhhh...haya asante kwa kunifumbua macho...maana nilikuwa naishi nafikiri huku kwetu bado tuko gizani....mhhh!!!!
nyamayao sjui kwanini nimejiskia kukusalimia kwa kiingereza aisee. how r u sweetheart?
sasa nimeridhika, siku yangu imekamilika, acha nilog out.
mkuwe na mchana mwema.
:focus: