My girlfriend has a girlfriend

My girlfriend has a girlfriend

Tatizo binadamu tunamuweka sana Mungu wetu likizo. Ukimuomba wakati wa shida akikujibu maombi yako unamuweka pending. Jamani shetani hana likizo, anahaha sana kutafuta mawindo. Jamani tusimame tumpige vita huyu, muda wowote, mahali popote, katika hali yoyote tumlilie yeye.
 
Mhh hii kali!

mie kuna best wangu nae kaolewa huwa anasema lazima ajaribu haka kamchezo anataka kujua wanasikia raha gani she thinks kuwa wanafaidi sana wanaofanya hako kamchezo.

sasa ngoja nikamuhabarishe aachane na hayo mawazo asije vunja ndoa buree.
 
..."maskeleton" mengine yanafaa yaachwe makabatini tu. They are safe there!
Matendo ya Ushoga/Usagaji yapo miaka elfu iliyopita. So long as hayataiathiri familia yake,
ajikalie kimya tu na huo udhaifu wa mwili wake..
 
Mbu umenikumbusha enzi za Warumi
 
mhh mambo mengine mazito kwa kweli nimejiuliza alianzaje anzaje mpaka vimemkolea kihivyo nimekosa jibu...khaa dunia kwa kweli tambara bovu.

...wengi huanzia na watu wao wa karibu sana (majumbani) wangali kwenye umri mdogo. Mambo ya kulala pamoja, na wengine walianzishwa shule za bweni/vyuoni nk. Nadra sana 'kujifunzia' michezo hiyo Ukubwani ukishakuwa na akili sawasawa.

Hii tunaita Psychological abuse, mbaya zaidi Victims mara nyingi nao hufanya hizo abuse kwa walio vunerable kwao. Tuwe makini kwenye malezi ya watoto wetu, tuwa encourage wawe Open kwenye mazungumzo yao, ili hata kama wamekuwa abused, hatua za haraka zichukuliwe.

Huyu Mume kwenye case hii amekosea sana kuwa mkali.
Huyu Mke hatakuwa Open kwake tena, na insecurity zao zitachangia zaidi kuisambaratisha ndoa hii.
 
Inasikitisha,inaumiza sana,inashangaza sana. Mimi najua ipo lakin nilijua ipo sana kwa wanafunzi na wanachuo (wenye umri mdogo),wasioolewa (baadhi) na ni wengi tu nawafahamu wala hawajifichi na wanaenjoy kupita maelezo na huo uhusiano wao, ila kwa mtu aliyeolewa hii ndiyo nimeisikia kwanza.
Lakin naamini kila jambo lina sababu zake.
Huyu dada kuna jambo limemsukuma mpaka aka fall in love na mwanamke mwenzie.
Na hizo sababu ndizo zilizomfanya atambue utofauti kati ya mumewe na huyu mwanamke mwenzie.
Ila kabla hajachukua uamuzi wowote ajiulize maswali haya.

1- je yupo tayari kutengwa na walimwengu kuanzia wazazi wake,mtoto wake,ndugu na rafiki kwa ajili ya kuendelea na huo usagwaji na huyo mwanamke mwenzie??.
2- yupo tayari kuikabili aibu hiyo mbele ya mtoto,mume,wazazi wake pindi uchafu huo ukijulikana??
3- na je ikijakutokea wakakorofishana na huyo mwanamke (msagaji) itakuwaje??, manake hapo afahamu kuwa muda huo tayari atakuwa ametengwa na mtoto,wazazi,marafiki,ndugu na mumewe.
4-angekuwa yeye anaachwa na mumewe ksb mumewe kapata mwanaume mwingine anayemridhisha zaid angejisikiaje??.

angalizo, asimwambie mumewe anaweza kumdhuru tena vibaya sana, kama alijaribu kumtania tu (japo nyuma ya pazia ilikuwa kweli) alikuwa mbogo je akimwambia kweli si atamwua kabisa??.

Huyo ni shetani tu anamjaribu anataka kuivunja tu ndoa yake,,"mwanamke mjinga anaibomoa ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe....................."
mungu kupitia maombi, wanasaikolojia ndiyo wanaweza kumsaidia huyo mwanamke kuachan na huo uchafu.
Mpe pole sana sana, ni majaribu tu ila naamini atayashinda.

wanaume kuweni wepesi kusifia uzuri wa wake/wapenzi wenu,wapendeni,watunzeni,wadekezeni,wajalini,wakuneni vizuri jamvini, ili kupunguza usagaji na uswagaji katika jamii, pia wanawake hii siyo njia sahihi ya kujitimizia haja zenu za jamvini,moto hauzimwi kwa kuumwagia petroli, shetani asizitawale akili zenu.
 
...wengi huanzia na watu wao wa karibu sana (majumbani) wangali kwenye umri mdogo. Mambo ya kulala pamoja, na wengine walianzishwa shule za bweni/vyuoni nk. Nadra sana 'kujifunzia' michezo hiyo Ukubwani ukishakuwa na akili sawasawa.

Hii tunaita Psychological abuse, mbaya zaidi Victims mara nyingi nao hufanya hizo abuse kwa walio vunerable kwao. Tuwe makini kwenye malezi ya watoto wetu, tuwa encourage wawe Open kwenye mazungumzo yao, ili hata kama wamekuwa abused, hatua za haraka zichukuliwe.

Huyu Mume kwenye case hii amekosea sana kuwa mkali.
Huyu Mke hatakuwa Open kwake tena, na insecurity zao zitachangia zaidi kuisambaratisha ndoa hii.
Kuna mtu nilikuwa naongea nae siku moja akaniambia "My wife would rather cheat on me with a lesbian but not with my fellow man"
 
Kuna mtu nilikuwa naongea nae siku moja akaniambia "My wife would rather cheat on me with a lesbian but not with my fellow man"

...dirty minded. Ana matarajio ya three-some huyo.
Kuwa cheated hakujalishi iwe na mwanaume, mwanamke
...au mwenyewe (self pleasuring watching porn)
 
...dirty minded. Ana matarajio ya three-some huyo.
Kuwa cheated hakujalishi iwe na mwanaume, mwanamke
...au mwenyewe (self pleasuring watching porn)
Definitely a dirty minded one
 
The kid? They should just put him/ her to bed before they get their freak on. Simple as that.

And what is a super christian? Afterall, who said christians, whether super or not, don't get freaky?

ha ha ha ah NN is back!

i like that philosophy though... two-some!
 
AD nimepata kajichance kadogo ndiyo nimerudi. Hivyo nina machache tu ya kuongea ktk hilo.
Ufanyaji wa tendo hilo na m'ke mwenzie linampa raha zaidi kuliko ile anayoipata kwa mume wake. Ina maana kuna mapungufu ya kiufundi kwa m'ume ya kutozijua engo za kumfanya mke wake afurahiye zaidi hilo tendo au kumfikisha kileleni. May be mume kwa kujiona ana bakora aliyopewa na Mungu, kaona ndiyo inaweza kumaliza kila kitu kwa mke wake na kutoyapa umuhimu mambo tofauti ya kiromantic ktk mapenzi.
Hivyo mke kwa kuzitambua njia zilizompatia mautamu aliyokolea nayo, kaona bora hicho kitu akiwasilishe kwa mume wake ambaye baada ya kusikia kawa mkali. HILO NI TATIZO.
AD pia inawezekana ujio wake huyo dada kwako ni wa kutaka kukushawishi nawe uwe mwenza wake ktk hilo tendo. Kuwa makini usije kushawishika, SISI BADO TUPO
 
Rose ni kosa girlfriend kuwa na geloflendi?

kosa ninin?
tuanzie apo
2me ni kosa kujinyima roho inataka...
masaa ma5 oyeeeeeeeeeeeeeeeee.....habari yake dul banaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mhh hii kali!

mie kuna best wangu nae kaolewa huwa anasema lazima ajaribu haka kamchezo anataka kujua wanasikia raha gani she thinks kuwa wanafaidi sana wanaofanya hako kamchezo.

sasa ngoja nikamuhabarishe aachane na hayo mawazo asije vunja ndoa buree.

avatar37527_1.gif
 
Ye aendelee na mdada mwenzie, ila asimnyime mtu mzima...
 
Ameshasema hafurahishwi tena na penzi la mumewe
Mambo yote GF anampa kitu roho inapenda
anataka kwenda kufaidi hilo penzi kwa uhuru bana
wasiliana na Afrodenzi atakupa mawasiliano
images

ngoja ni m-pm sema watu hamjajua tu, ila mimi nina msichana wangu yeye nilivyo mu approach aliniambia kuwa ana GF na akaniuliza kuwa napenda hiyo kitu au sitaki yeye awe na gf? nikamwambia unaweza kua naye without any problems, mtoto akawa ananipa penzi we acha tu kwanza ana sura ya kiume na mapozi ya kiume ila ana kitu tight kinoma huyu akikubali mi namuoa kabisa
 
Back
Top Bottom