jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Serikali ya awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan iliwasikiliza wapinzani,asasi za kiraia na mataifa ya Magharibi kwa kurekebisha baadhi ya misimamo na sera zake ili kutoa fursa iliyosemwa kuwa haikuwepo kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita. Uhuru wa kusema na kufanya siasa ukarudishwa kwa mujibu wa walalamikaji hususani wapinzani.
Jambo nililoliona hadi sasa bado hakuna mpinzani aliyetumia fursa hiyo kuja na agenda zenye tija kwa maendeleo ya Taifa.
Huu ni mtego tuliovikwa yaani kujadili siasa za "kidemokrasia" jambo ambalo ni dhana fikirika na yenye kuangalia maslahi ya kundi flani la wanyonyaji tu.
Ni vyema basi wapinzani wakarudi kujadili maendeleo ya kweli ya Taifa.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!