MY HUMBLE OBSERVATION: Pamoja na kupewa uhuru waliotaka bado hakuna mpinzani anayeongelea maendeleo

MY HUMBLE OBSERVATION: Pamoja na kupewa uhuru waliotaka bado hakuna mpinzani anayeongelea maendeleo

Hoja za maendeleo na kujali mahitaji ya wananchi wa kawaida aliondoka nazo dr slaa, hawa waliobaki sasa hivi ni wababaishaji tu, waganga njaa na matapeli wa kisiasa.
Kwanza kati yao ni nani mwenye uwezo wa kujenga hoja na kuitetea? Porojo na hoja huwa havikai pamoja.
Kwanini asiendelee kuongelea maendeleo au mpk awe CHADEMA pekee?
 
Mimi nadhani wapinzani wamechangia sana kuongelea maendeleo.
Walikosoa manunuzi ya ndege bila kujadiliwa bungeni.
Zitto na wenzake walionya kuhusu mikopo mikubwa ya serikali wakati wa Mjomba Magu.
Kwa sasa wapinzani wamenyanganywa microphone baada uchaguzi wa 2020,hawako kwenye serikali za mitaa wala kwenye bunge.
Swali lako uliza 2025 na kuendelea.
 
Baada ya kumsikiliza Prof Lipumba nasema hayati Magufuli alikuwa sahihi kuwapuuza wapinzani.

Wapinzani ni watu wanaojali matumbo yao tu na familia zao.

Hebu fikiria Prof Muka anaongea urongo Ikulu akiwa ameongozana na viongozi wa dini akina Fupe wa KKKT na alhad Mussa wa Bakwata
Popote alipo Alhad Musa usitegemee la maana,
 
Kuna viwanda 200 vitajengwa kibaha...hiu ni news ya hivi karibuni hujaisikia au unajitoa ufahamu?

Vitajengwa na sio vimeshajengwa! Tulia tu bro maana hamna jipya.
 
Serikali ya awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan iliwasikiliza wapinzani,asasi za kiraia na mataifa ya Magharibi kwa kurekebisha baadhi ya misimamo na sera zake ili kutoa fursa iliyosemwa kuwa haikuwepo kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita. Uhuru wa kusema na kufanya siasa ukarudishwa kwa mujibu wa walalamikaji hususani wapinzani.

Jambo nililoliona hadi sasa bado hakuna mpinzani aliyetumia fursa hiyo kuja na agenda zenye tija kwa maendeleo ya Taifa.

Huu ni mtego tuliovikwa yaani kujadili siasa za "kidemokrasia" jambo ambalo ni dhana fikirika na yenye kuangalia maslahi ya kundi flani la wanyonyaji tu.

Ni vyema basi wapinzani wakarudi kujadili maendeleo ya kweli ya Taifa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
We unataka waongee nini. Au we ndo chenga kabisa
 
Sera za maendeleo,bajeti vyote vinapangwa na ccm,mawazo ya upinzani hayapewi nafasi,hata ukiwa Mbunge wa upinzani,sera zinazotekelezwa ni za ccm Tena kwa ubabe na jeuri!!,sasa kama wewe umekuwa unaishi sayari ya mars basi utakuwa huelewi yanayoendelea hapa bongo
 
Wewe ni mpumbavu. Unataka wapinzani wanajadili maendeleo ya madaraka na mandege ila hutaki wajadili katiba mpya? Ni mpumbavu wa kiwango cha magufuli wewe. Yeye alihusika maendeleo ni flyover, madaraja, barabara nk.
Kenya imeendelea kwa katiba mpya?
Maendeleo ni process mjinga wao. Hata kudai katiba mpya ni maendeleo pia. Ccm haipo madarakani kuwatea watanzania maendeleo.
Kama unahisi maendeleo ni mabarabara kwann mandela aliwapinga makaburu?
Mlizoea kuwadanganya watz kushirikiana na lile dubwasha LENU.
 
Umeathiriwa na media za CNN,BBC ambao uongo wao na unafiki wao umedhihirika katika vita ya UKRAINE na URUSI
Nadhani ndio maana jamaa akasema Not Perfect ila in comparison na hapa kwetu; Sio kwamba wamagharibi wana haki no, ila ukilinganisha haki huku na Huko Tz ni tofauti.
 
hakuna wanachokisema hawa wapinzani zaidi ya kushadadia ya CCM
 
Back
Top Bottom