Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kwani kwenu huko hayakitokea ya virobašHata baada ya kuipata waliuana ,rejea historia yako vyema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kwenu huko hayakitokea ya virobašHata baada ya kuipata waliuana ,rejea historia yako vyema
Tikuuulizeni wadanganyika š¤kuna uthibitisho?
Hao wanaoitwa wapinzani ni waganga njaa fulani.Serikali ya awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan iliwasikiliza wapinzani,asasi za kiraia na mataifa ya Magharibi kwa kurekebisha baadhi ya misimamo na sera zake ili kutoa fursa iliyosemwa kuwa haikuwepo kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.
Uhuru wa kusema na kufanya siasa ukarudishwa kwa mujibu wa walalamikaji hususani wapinzani.
Jambo nililoliona hadi sasa bado hakuna mpinzani aliyetumia fursa hiyo kuja na agenda zenye tija kwa maendeleo ya Taifa.
Huu ni mtego tuliovikwa yaani kujadili siasa za "kidemokrasia" jambo ambalo ni dhana fikirika na yenye kuangalia maslahi ya kundi flani la wanyonyaji tu.
Ni vyema basi wapinzani wakarudi kujadili maendeleo ya kweli ya Taifa.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Ila weye upo kundi la elite wa kijani sioš¤Hao wanaoitwa wapinzani ni waganga njaa fulani.
Acha michezo wewe, unafikiri Biden anaweza kukuweka ndani au kukupoteza kwa sababu ni Raisi? huku hakuna ubashite au usabaya, of course not perfect lakini compare bongo na US kwenye haki na usawa is like day and night, wako mbali sanaUchina imeendelea vipi?
Hivi USA kuna Usawa na haki?
Umeathiriwa na media za CNN,BBC ambao uongo wao na unafiki wao umedhihirika katika vita ya UKRAINE na URUSIAcha michezo wewe, unafikiri Biden anaweza kukuweka ndani au kukupoteza kwa sababu ni Raisi? huku hakuna ubashite au usabaya, of course not perfect lakini compare bongo na US kwenye haki na usawa is like day and night, wako mbali sana
Unateseka sana. Na bado...Serikali ya awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan iliwasikiliza wapinzani,asasi za kiraia na mataifa ya Magharibi kwa kurekebisha baadhi ya misimamo na sera zake ili kutoa fursa iliyosemwa kuwa haikuwepo kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.
Uhuru wa kusema na kufanya siasa ukarudishwa kwa mujibu wa walalamikaji hususani wapinzani.
Jambo nililoliona hadi sasa bado hakuna mpinzani aliyetumia fursa hiyo kuja na agenda zenye tija kwa maendeleo ya Taifa.
Huu ni mtego tuliovikwa yaani kujadili siasa za "kidemokrasia" jambo ambalo ni dhana fikirika na yenye kuangalia maslahi ya kundi flani la wanyonyaji tu.
Ni vyema basi wapinzani wakarudi kujadili maendeleo ya kweli ya Taifa.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Not at all na sihitaji CNN or BBC kunilisha propaganda, naishi hapa i can see and experience ninachoongea, na hatuongelei vita hapaUmeathiriwa na media za CNN,BBC ambao uongo wao na unafiki wao umedhihirika katika vita ya UKRAINE na URUSI
Ila matokeo ya kuwa elite yanaonekana?Ni sawa tu,,, umewaza vyema
Hatuongelei vita ila hatuongei uingo pia
Acha kutulisha matango poriKuna viwanda 200 vitajengwa kibaha...hiu ni news ya hivi karibuni hujaisikia au unajitoa ufahamu?
Kwanini wewe na familia ako msiongelee maendeleo?Serikali ya awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan iliwasikiliza wapinzani,asasi za kiraia na mataifa ya Magharibi kwa kurekebisha baadhi ya misimamo na sera zake ili kutoa fursa iliyosemwa kuwa haikuwepo kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita. Uhuru wa kusema na kufanya siasa ukarudishwa kwa mujibu wa walalamikaji hususani wapinzani.