MY HUMBLE OBSERVATION: Pamoja na kupewa uhuru waliotaka bado hakuna mpinzani anayeongelea maendeleo

Kwanini asiendelee kuongelea maendeleo au mpk awe CHADEMA pekee?
 
Mimi nadhani wapinzani wamechangia sana kuongelea maendeleo.
Walikosoa manunuzi ya ndege bila kujadiliwa bungeni.
Zitto na wenzake walionya kuhusu mikopo mikubwa ya serikali wakati wa Mjomba Magu.
Kwa sasa wapinzani wamenyanganywa microphone baada uchaguzi wa 2020,hawako kwenye serikali za mitaa wala kwenye bunge.
Swali lako uliza 2025 na kuendelea.
 
Popote alipo Alhad Musa usitegemee la maana,
 
Kuna viwanda 200 vitajengwa kibaha...hiu ni news ya hivi karibuni hujaisikia au unajitoa ufahamu?

Vitajengwa na sio vimeshajengwa! Tulia tu bro maana hamna jipya.
 
We unataka waongee nini. Au we ndo chenga kabisa
 
Sera za maendeleo,bajeti vyote vinapangwa na ccm,mawazo ya upinzani hayapewi nafasi,hata ukiwa Mbunge wa upinzani,sera zinazotekelezwa ni za ccm Tena kwa ubabe na jeuri!!,sasa kama wewe umekuwa unaishi sayari ya mars basi utakuwa huelewi yanayoendelea hapa bongo
 
Wewe ni mpumbavu. Unataka wapinzani wanajadili maendeleo ya madaraka na mandege ila hutaki wajadili katiba mpya? Ni mpumbavu wa kiwango cha magufuli wewe. Yeye alihusika maendeleo ni flyover, madaraja, barabara nk.
Kenya imeendelea kwa katiba mpya?
Maendeleo ni process mjinga wao. Hata kudai katiba mpya ni maendeleo pia. Ccm haipo madarakani kuwatea watanzania maendeleo.
Kama unahisi maendeleo ni mabarabara kwann mandela aliwapinga makaburu?
Mlizoea kuwadanganya watz kushirikiana na lile dubwasha LENU.
 
Umeathiriwa na media za CNN,BBC ambao uongo wao na unafiki wao umedhihirika katika vita ya UKRAINE na URUSI
Nadhani ndio maana jamaa akasema Not Perfect ila in comparison na hapa kwetu; Sio kwamba wamagharibi wana haki no, ila ukilinganisha haki huku na Huko Tz ni tofauti.
 
hakuna wanachokisema hawa wapinzani zaidi ya kushadadia ya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…