Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,768
- 3,622
19. Babra Hassan......don't ask me why
Mpwa hizi bidhaa ni mahsusi kwa ajili yako tu wala watu wengine wasione...
Shilole
acha umbeya mtoto wakiume utasutwa wewe nani kakuuliza hapa ,tunazungumzia warembo maswala yakuzalisjhwa kafungue thread nyingine ,wanaume wa siku hizi bwana ukikosa kitu basi bifu fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
kale katoto bwana kakimada ka yule jamaa wa mjengoni (BOOOONGE) anaelala ovyo, aaah I mean yule jamaa aliyekuwa anaimba kwaya bwana.
au kale under 18 au?
We umezalishwa na nani?
Hayakuhusu...
Zipompapompa
Mkuu Nimecheka sana!
Juzi nikiwa natoka town kwenye foleni niliona a huge woman kwenye gari Ndogo sana amejaa kwenye kiti cha gari akiendesha.
Nilipotazama nikamuona huyo mama vioo vipo chini kalowa jasho. Gari Ilikua manual Dah anachomekea mbaya!
Kazalishwa na Mzee Mengi
Deki imekubali