My List: Most Beautiful Tanzanian Female Celebrities

Ni kweli kabisa mkuu, uzuri na urembo ni vitu viwili tofauti...

Katika thread hii tujaribu tu kuwaangalia walimbwende hawa kulingana na urembo wao...
 
Reactions: EMT
HUYU HAYUPO HATA KWENYE 1000 BORA YA BONGO...! kajiharibu kama guruwe...! shame!

Jaribu kukumbuka ule muonekano wake wa awali...utaelewa kwa nini nimefikiria kumjumuisha hapa...
 
huyo no 5 ni nani?
Miss East Africa 2012, maisha yake mengi hajaishi hapa Tanzania ila uraia wake ni wa Tanzania...

huyo jokate mbona ka kawaida sana tu! kuna yule mdada sijui anaitwa jack nani, mumewe alikamatwa na ishu ya "mbwimbwi" anafaa kushika hiyo nafasi ya jokate.

Nyamayao, hizi namba nimeweka tu ila sio kwamba zina uhusiano na urembo wao
 
Umejitahidi, naamini WEMA SEPETU ndo The Most Beautiful Tanzania Female Celebrite. Ana kila kitu kinachotakiwa kuwa na sifa hizo au mnasemaje wadau

Aah wapi..kawa km kiti moto..vimiguu kama kachomekwa..mwili jumba mguu km kijiti....angebaki km zamani sawa
 
Miss East Africa 2012, maisha yake mengi hajaishi hapa Tanzania ila uraia wake ni wa Tanzania...

Nyamayao, hizi namba nimeweka tu ila sio kwamba zina uhusiano na urembo wao

pamoja na hivyo jokate sio kabisaaa wa kawaida sana tu, mtundike na huyo dada ninaekwambia basi, sijui jack nani
 
pamoja na hivyo jokate sio kabisaaa wa kawaida sana tu, mtundike na huyo dada ninaekwambia basi, sijui jack nani

Wakwetu huyo ni Jack Cliff 'beach babe'......tih tih.....ngoja na mimi nilete picha zangu nikiwa beach lake Duluti......mtakomajeeeeeee.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…