Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu8 nilidhani uzuri na urembo ni vitu viwili tofauti?
Hao kwenye list ni wazuri, warembo, or both?
Wanasema uzuri ni zaidi ya mwonekano lakini urembo ni mwonekano peke yake. Uzuri ni zaidi ya usoni pia.
Mie ningependa tuwazukie hawa na vipima maji vyetu saa 12 asubuhi na mapema kabla hata hawajanawa nyuso zao au wakiwa ndio kwanza wametoka bafuni kuoga kabla hawajajiremba ili tuwapime live.
Mkuu hizo namba hazina uhusiano wowote wa nani mrembo zaidi ya mwenzake...ni mtiririko tu nimeweka
Miss East Africa 2012, maisha yake mengi hajaishi hapa Tanzania ila uraia wake ni wa Tanzania...huyo no 5 ni nani?
huyo jokate mbona ka kawaida sana tu! kuna yule mdada sijui anaitwa jack nani, mumewe alikamatwa na ishu ya "mbwimbwi" anafaa kushika hiyo nafasi ya jokate.
Umejitahidi, naamini WEMA SEPETU ndo The Most Beautiful Tanzania Female Celebrite. Ana kila kitu kinachotakiwa kuwa na sifa hizo au mnasemaje wadau
Miss East Africa 2012, maisha yake mengi hajaishi hapa Tanzania ila uraia wake ni wa Tanzania...
Nyamayao, hizi namba nimeweka tu ila sio kwamba zina uhusiano na urembo wao
Humjui Malkia nyuki
pamoja na hivyo jokate sio kabisaaa wa kawaida sana tu, mtundike na huyo dada ninaekwambia basi, sijui jack nani
Hicho chumba cha uani, kilimpeleka mwenzenu kuzimu..........shauri zakoEWAAAAAAAAAAH!!!!,
hayo ndo maneno sasa, ebu cheki vyumba vya uwani hivyo.
Duh hii toto kAPITENI anaweza akahonga hata jimbo
Hicho chumba cha uani, kilimpeleka mwenzenu kuzimu..........shauri zako
Mkuu pesa mwana haramu bana
Huwezi amini eti huyu diva wa urembo anamuitaga Mzee Mengi handisamu