My List: Most Beautiful Tanzanian Female Celebrities

watu8 naona sifa ya kuwa mzuri ni lazima uwe bongo celebrity. Kule Uswazi kuna toto Mungu aliziumba zikaumbika ni bahati mbaya sana hawaonekani na wengi kama hawa ambao wako kwenye media mbali mbali kila mara.
 
Last edited by a moderator:
Wakwetu huyo ni Jack Cliff 'beach babe'......tih tih.....ngoja na mimi nilete picha zangu nikiwa beach lake Duluti......mtakomajeeeeeee.......

wa kunyumba, nazisubiria kwa hamu zoteee, lazima waone product ya yaeda chini, hahahaha! wa kunyumba ndio huyo huyo namzungumzia, nampenda kweli yule mdada, mrembo/mzuri
 
watu8 naona sifa ya kuwa mzuri ni lazima uwe bongo celebrity. Kule Uswazi kuna toto Mungu aliziumba zikaumbika ni bahati mbaya sana hawaonekani na wengi kama hawa ambao wako kwenye media mbali mbali kila mara.

Sasa hao tutapataje kuwaona bila picha? Ndio maana kasema ni kwa wale walio kwenye vyombo vya habari. Mi ninamwelewa watu8, otherwise tum-challenge kwa kuweka picha za hao tunaodhani ni zaidi ya hawa.
 
Mkuu hawa viumbe ni wazuri bana
From muonekano, maumbo plus urembo
Kumbuka karibu wote hao ni mamiss kwa namna moja au nyingine
Na mojawapo ya sifa ya kuwa miss ni lazima uwe mzuri wa kuvutia

Sasa labda utupe tafsiri ya neno mzuri, sijui unamaanisha tabia? na tabia ipi? sipendi kuhukumu mtu

Clopatria anasadikiwa alikuwa mwanamke mzuri kuliko wote lakini......
 
watu8 naona sifa ya kuwa mzuri ni lazima uwe bongo celebrity. Kule Uswazi kuna toto Mungu aliziumba zikaumbika ni bahati mbaya sana hawaonekani na wengi kama hawa ambao wako kwenye media mbali mbali kila mara.
yaani hatuonekani kabisa jamani. lol. cc sweetlady
 
Last edited by a moderator:
Mkuu pesa mwana haramu bana
Huwezi amini eti huyu diva wa urembo anamuitaga Mzee Mengi handisamu

Hahaha zangu mbavu,kwa hiyo anamwitaga pia bby,??!!,du humu jamii forum watu wana vituko
 
Kila siku natafuta picha ya Cleapatra siipati nisaidie kutupia kama ipo
 
hahaha mkuu kwa leo kurunzi letu wacha liwamulike maselebriti...
ni kweli huku mitaani kwetu kuna walimbwende wazuri wazuri...ndio maana mkuu sijatupiamo picha ya mai waifu wangu!

watu8 naona sifa ya kuwa mzuri ni lazima uwe bongo celebrity. Kule Uswazi kuna toto Mungu aliziumba zikaumbika ni bahati mbaya sana hawaonekani na wengi kama hawa ambao wako kwenye media mbali mbali kila mara.
 
Last edited by a moderator:
Tufanye hawa ni wale unaowajua wewe na wanaojulikana sana na wananchi kwa sababu walishawahi kuwa katika medani za ulimbwende tanzania na kwingineko.
Ila sijajua kigezo ulichotumia kuweka hawa mabinti hapa kama most beautiful kwa mujibu wako. labda unge define hiyo kwanza ndo tungekuelewa vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…