Mkuu hawa viumbe ni wazuri bana
From muonekano, maumbo plus urembo
Kumbuka karibu wote hao ni mamiss kwa namna moja au nyingine
Na mojawapo ya sifa ya kuwa miss ni lazima uwe mzuri wa kuvutia
Sasa labda utupe tafsiri ya neno mzuri, sijui unamaanisha tabia? na tabia ipi? sipendi kuhukumu mtu
Clopatria anasadikiwa alikuwa mwanamke mzuri kuliko wote lakini......
Bearing in mind uzuri ni subjective, then siwezi kukupa definition ya uzuri. Sana sana nitakupa definition yangu ambayo ni very subjective. Mwanamke anaweza kuwa mzuri kwako lakini asiwe mzuri kwangu.
Definition ya mwanamke mzuri haina tofauti na ile ya terrorist. One man's terrorist, might be another man's freedom fighter. Vile vile one man's ugly woman might be another man's beautiful woman.
Na kama tunaangalia uzuri wa wanawake wa Tanzania kwa kuwaangalia models au Mamiss Tanzania, then tutakuwa tunaangalia wanawake less than 2 per cent. Hata hao wanaofanikiwa kuingia kwenye mashindao ya Umiss lazima wawe na connection na wandaaji.
On the other hand, wapo wanaosema kuwa objectively kila mwanamke ana features za uzuri kama zikuwa captured well na mpiga picha wa ukweli. Ndo maana sometimes tunakatiza kitaa unakutana na kiumbe ambacho huna haja kugeuka hata kwa wizi na kukiangalia mara mbili mbili hata kama uko anayekumiliki.
Of course, objectively Halle Berry anaweza kuwa mzuri kuliko Whoopi Goldberg. Angalia hata kwenye hii thread kuna ambao
Watu amewaweka kama wazuri lakini wachangiaji wengine wanapinga.
Hivyo hivyo, wengine watasema Uma Thurman ni mzuri, wengine watasema anafanana na chura. Alek Wek anaweza kuwa ni famous model lakini watu wengine wanaweza kusema Naomi Campbell ni mzuri zaidi, na wengine watasema wote wawili look ugly.
Lakini sijawahi kusikia mtu yoyote, including me, akisema kuwa Halle Berry siyo mzuri, though I am sure wapo baadhi ya wanaume ambao watasema J.Lo (siyo yule wa bongo) ni mzuri kuliko Halle Berry.
In fact, wapo mpaka baadhi ya wanawake ambao wangependa kuwa na uzuri kama wa J.Lo. And, who knows, may be hata Halle Berry angependa awe na uzuri wa J.Lo japokuwa sie huku tunamzimikia ile mbaya. Kwa hiyo, mara nyingi uzuri ni subjective hata kwa yule aliye nao.
Ndiyo maana siku hizi mie nimeamua kujikita kwenye personality zaidi. lol.
In deed kwa staili hii tutakuwa hatumtendei haki
Dawa ya jiko
Kila nikimpigia simu nimueleze ya moyoni hapokei,nikituma sms hajibu,nimejaribu ku mrequest fb sijaona responce yoyote,au nichukue kadi ya ccm nijiunge na UVCCM ndio unielewe? MH.ESTA ukinikubali kesho ntakupeleka nyumbani ukamuone mama.
Sosi:
https://www.jamiiforums.com/mahusia...836-esta-bulaya-mama-unautesa-moyo-wangu.html