My List: Most Beautiful Tanzanian Female Celebrities



Make up zinawadanganya wazuri ni kama hawa no mkorogo wala mashamu shamu.
 

Mkuu uzuri aka mvuto kwa maana ya beautiful kwa kimombo unamaanisha muonekano wa nje, Hii ina jumlisha sura, umbo pamoja na viungo vyako vya mwili..........hapa ndio utapata Mzuri wenye mvuto ingawa kibinaadamu hakunaga mtu mbaya

Nafahamu pia ni swala la kimtazamo kusema Jlo na Uma Thurum ni nani mzuri kuliko mwenzake lakini ukweli ni kwamba hawa wote ni wazuri
Wala huwezi kusimama ukasema Whoopi Goldberg ni mzuri au kusema Wasira ni handsome (kumbuka uzuri hauna mausiano kwenye kupendana) mtu yeyeto anaweza kumuona ampendaye ni mzuri kwasababu ya connection iliyopo kimapenzi na si ''uzuri muonekano'' tunao uongelea hapa

Unajua hapa duniani ipo ivi watu hawawezi kujua chochote kuhusu mtu ambaye hujulikani, na dunia hii inawatambua wale tu wanaofahamika kwaajili ya kutambua mambo mbalimbali
Inawezekana kabisa mimi nikawa mzuri kisiasa kuliko Dr Slaa lakini dunia haitanitambua hadi nijiingize kwenye siasa na nipate bahati kutambulika then nitakuwa counted kuwa ni mmojawapo wa wanasiasa mahiri Tz.
Thats how it work, sio kama hakuna wazuri kuliko akina Jlo, wapo wa kumwaga ila hakuna anawajua na People Magazine kila siku itawataja hao hao akina Demi Moore
 
I very much disagree...Mmetumia vigezo vile vile vya magazeti ya urembo ya magharibi(Vogue,Alure,W)...They don't represent beauty ktk hali halisi ya kiafrika.Nakumbuka kuna wakati miss Tanzania alienda Mwanza ktk zmoja ya ziara zake one comon man akapayuka.."haaa!Miss Tanzania wa wapi huyu hana wowowo!?"...and the guy was very right..sisi Waafrika tunavigezo vyetu.Hawa uliowaweka ni Maarufu tu AND NOT THE MOST BEAUTIFUL!
 
I very much disagree...Mmetumia vigezo vile vile vya magazeti ya urembo ya magharibi(Vogue,Alure,W)...They don't represent beauty ktk hali halisi ya kiafrika.
Mkuu naona umeshindwa kunisoma...

Katika thread hii hujazuiliwa nawe kuweka walimbwende unaoamini wanakuvutia...hao uliowaona ni wale wanaonivutia mimi...

Nakumbuka kuna wakati miss Tanzania alienda Mwanza ktk zmoja ya ziara zake one comon man akapayuka.."haaa!Miss Tanzania wa wapi huyu hana wowowo!?"...and the guy was very right..sisi Waafrika tunavigezo vyetu.
Dhumuni pekee la kufanya shindano la Miss Tanzania ni kupata muwakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya ulimbwende ya dunia...
Sasa kama dhumuni ndio hilo basi ili kuhakikisha ushiriki mzuri wa nchi ndio maana wanaenda hao ambao huwa wanaenda...hao wenye mawowo labda watafutiwe aina nyingine ya mashindano
Hawa uliowaweka ni Maarufu tu AND NOT THE MOST BEAUTIFUL!

UNa akili sana wewe, na dhumuni langu liliwalenga hao hao maarufu ambao pamoja na umaarufu wao pia ni walimbwende...Ingawaje ninajua kuna wengine hapo ndio leo unaona majina yao....
 
3: Jacqueline Ntuyabaliwe





Ninaomba umvizie siku ametoa haya manywele ya maiti ndo utajua jack ni mzuri au lah. nilivyomuoan sikuamini kama ndie. nywele zimenyonyoka, mbayaaaaa,nyekunduuu na sura ikaharibika yote. Mimi naona ungewaweka wakiwa natural ndo ungejua nani mzuri na nani mbaya. usidangwanywe na mmakeup na hzo nywele. watu8
 
Last edited by a moderator:
Mkuu NIGGA, hiyo miguu ni mizuri kwa vigezo vyako, lakini kwa vigezo vyangu, mmmmhhhhh!!!!!

Tiba

To me she is pretty fine...kama unapenda maguu makubwa na mata.ko...m out
 
Hahahah....
Tukianza kuangalia hayo humu ndani zingejaa picha za watoto wachanga ambao bado hawajachakachuliwa...urembo ni pamoja na kujiremba!!

 
naona wapo wanaopenda kweli urembo wa power point aka wa kununua....

sijui natural tutautoa wapi
 
Nancy Sumari yupo hapa hapa Tanzania, kwa sasa nadhani kaweka kando hizi shughuli za ulimbwende bali akishirikiana na wenzake walifungua Kampuni iitwayo Frontline Management Limited

yaani hiii picha nimekuikubali sana tena sana acha tu sijui huyu mtoto View attachment 104072siku hz yuko wapi kaka watu8
 
Harafu naona 98% nywele za Shop

Uswazi unakuta mtu ana kipilipili chake lakini ni mrembo wa haja

very good observation...

haya makitu ya kukandika nywele, macho, nyonyo, chinese hips, mkorogo, meno bandia, kucha nk. sometimes huwa siyaelewi vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…