kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #121
Hakika mkuu ngoja niwe mpole tuwatu sikuhizi naisikia wanakwenda uturuki kuboresha mambo, ila ni suala linalotaka gharama.
suluhisho la pili ni kukubali matokeo tu mana utaumia mpaka lini? na hata ukitafuta mwengine nae atakakua ndio hayo hayo.
Na mim ushauri sitoi naogopa kuchekwaSitaki kuchekwa mie
Enewei,ila tulia kuwa na Amani,sisi tunapenda nyashi ila tunaoa wenye akili.kwakuwa wewe ndo umewekwa ndani basi mshukuru mmeo.Akhuuu mnataka kunicheka naona
ushauri mkubwa unafikiri mwenzako yuko serious kumbe anachangamsha jukwaaa tuDon't overstress Miss!
It is all known that, We Men have got attraction to a single part of Women's body
It might be breast, hips, lips, attractive face, smile, big buttocks, her performance on bed ect
So perhaps your Man loved your bed performance and your killing smile also
What I recommend you to do, is to ask him his commitments on you.
The commitment could be of asking him to visit and introduce himself to your parents and guardians if possible
If he doesn't shows up, then you can have the answer of your question then
Kumbe ameamua kutusumbua Wazee wake🙌ushauri mkubwa unafikiri mwenzako yuko serious kumbe anachangamsha jukwaaa tu
Tukiwa wote kwenye iST likapita GX-R au BMW kali nikageuka kulitizama na kusema gari zuri sana hilo, ntakuwa sijaridhika na iST?😂😂Inaumiza kuona mwenzi wako haridhiki na wewe
Amini alichokwambia pia jiamini maana naona shida ipo kwako huji amini thus whyAnasemaga hapendi hayo makubwa wakati mimi naona ananidanganya tu
Familia yetu na tuiimarishe.Safi sana mkuu umefanya jambo zuri
Uyole-Nanenane-Sai-CCM-Mama John-Mwakibete-Soweto-Kabwe-Mwanjenlwa-Mafiati-Maghorofani-Kadeghe-Meta/Umati-Simike-Mbembela-Nzovwe-Iyunga-Ituta-IwambiUnaweza tembea kwa mguu usiku toka Uyole hadi Iwambi kuifuata..!!!
Go get big nyashiiii........There are times when we go out, and when we pass by a woman with big hips, I see him turning his head to look at her, and this situation really irritates me.
Sometimes when I check his phone, I find he has saved videos of women with big hips twerking. Can we really go far like this? I’m just an ordinary woman, I don’t have those big nyash😫😫😢
Kwamba mkuu wewe haunalo😁😆😘😜!There are times when we go out, and when we pass by a woman with big hips, I see him turning his head to look at her, and this situation really irritates me.
Sometimes when I check his phone, I find he has saved videos of women with big hips twerking. Can we really go far like this? I’m just an ordinary woman, I don’t have those big nyash😫😫😢
Dah! Sasa mimi nakasirika kwanini aangalie mbele yangu, akiwa peke yake mimi sina shidaKwamba mkuu wewe haunalo😁😆😘😜!
Nikupe moyo kwamba, 'kuvunja shingo' kwa kumezea mate matako makubwa ni starehe za kiume zisizo na uhalisia.
Ni burudani tu kuyaangalia na baada ya hapo starehe huwa imeishia hapo hapo,asikudanganye mtu.
Huyo mubaba anapenda kumiliki wanawake wa aina yako ndiyo maana alikuchagua, maana yake anakupenda na hawezi kubadili upendo na hisia zake umezibeba wewe.
Hata mimi nilipokuwa kijana na hata sasa, hupenda kuangalia wanawake wenye makalio mzigo na nikiwaangalia huanza kubishana katika nafsi: 'hapana haiwezekani, hilo lote haliwezi kuwa lake' huku natembea ivo!
Sipendi kufanya mapenzi na wanawake wenye sifa hizo, ila furaha yangu huwa ni kuwaangalia tu kwa macho walivyoumbwa na kuanza kuubishia kwa ukweli nnaoujua dhahiri!
Huyo mubaba mwache avunje shingo awezavyo, ni starehe zetu hizo wala hakuna madhara yoyote ni sawa na kusoma gazeti na kuliacha.
Kitu ambacho huwa sikipendi ni kule kuingiliwa na mtu yeyote uhuru wangu wa kusorolea, na kuanza kuhojiwa eti kwa nini ninaangalia huko, pia nikigundua mtu ananifuatilia kwa macho kuniangangalia usoni kama kunishushua sehemu ninakoangalia, hujisikia hasira za kukatishwa stimu.
I can't afford costs 😫😫Go get big nyashiiii........
Pamoja mkuuFamilia yetu na tuiimarishe.
Sawa sawa!!
Go for surgeryThere are times when we go out, and when we pass by a woman with big hips, I see him turning his head to look at her, and this situation really irritates me.
Sometimes when I check his phone, I find he has saved videos of women with big hips twerking. Can we really go far like this? I’m just an ordinary woman, I don’t have those big nyash😫😫😢
Hiyo haina cha mbele ya nani tamaa ikishakukumba mkuu, unashitukia tu shingo kunju, imekunjika yenyewe bila hata mwenyewe kujua.Dah! Sasa mimi nakasirika kwanini aangalie mbele yangu, akiwa peke yake mimi sina shida