My partner loves women with big nyash, what should I do?

Mungu fundi sana aisee, haya tunawaacha muwatazame ila tuliyopo ndiyo sisi sasa
 
Ni kweli lakini kuna muda muwe mnavunga mkiwa na wapenzi weny basi
Tatizo huwa mnajihisi tu.

Siku moja nikiwa na maiwaifu wangu maeneo fulan, mbele yetu kumbe kuna kifaa kimemzidi kwa mbali kidogo km km 5 hivi kwa nyuma. Mimi wala sijaona nashangaa ananiambia... UNAANGALIA NINI HUKO, NYIE WANAUME MKOJE?

Mimi nashangaa ndio ikabidi nianze kuangaza nikauona mzigo, tena mzigo kweli unafaa na una sifa zote unaelekea tunakoenda. Ilibidi nnicheke tu. Maana yeye ndiye kanionesha mimi nolikuwa sijaona
 
Hupaswi kuwa na hasira kwahilo hata mimi ndio ugonjwa wangu.binafsi naweza kumtambua mwanamke kwa kumwangalia nyashi pekee imefikia hatua napoteza sura za wanawake wengi kwasasa.
 
Hupaswi kuwa na hasira kwahilo hata mimi ndio ugonjwa wangu.binafsi naweza kumtambua mwanamke kwa kumwangalia nyashi pekee imefikia hatua napoteza sura za wanawake wengi kwasasa.
Kwahiyo umekariri matak yao tu duh! Wewe kibokoπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…