GE2025 My side: Hali jinsi ilivyokuwa tarehe 29. Maandamano, usaliti, uhalifu na mauaji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sijaumizwa kwa lolote lile.

Siku nyingine uache kiherehere cha kuandika vitu visivyo na uhalisia.
 
Hakukuwa maandamano bali kulikuwa na magenge ya wezi na waharibifu wa mali. Walichokipata kutoka kwenye nguvu ya dola wanastahili.

Waandamanaji walikuwepo mkuu.
Nimeshuhudia kwa macho yangu lakini waliharibiwa na wahalifu ambao kimsingi wao ndio waliwapa ujasiri wa kuingia barabarani.

Lakini kila mtu alikuwa na lengo na maslahi yake hapa ndipo mkwamo ulikuwepo
 
Nilichogundua kuhusu wewe jamaa sio kwamba ni mnafiki tu bali pia huna akili kabisa. Yaani wewe ni mnafiki na ni zero brain kabisa
 
Some but not similar

Wazungu na waafrika wanafanana kila kitu.
Can you differentiate between "same" and "similar"

Wazungu na waafrika wanafanana "kila kitu" vitu vipi hivyo?

Hivyo vitu viorodheshe hapa!
Hatua tuliyopo hao wazungu walikuwepo miaka 1700
Ilikuwaje wao wazungu waliweza kubadilika tangu kipindi hicho cha miaka 1700, Lakini sisi hadi leo hii tupo palepale?
Na tupo nyuma kutokana na sababu kadhaa hasa za ukoloni wa kifikra na mtazamo potofu kama wako
Kama tupo sawa na wazungu, ni lini wao wazungu waliachana na ukoloni wa kifikra ambao bado waafrika tupo nao hadi leo hii?
 
Nilichogundua kuhusu wewe jamaa sio kwamba ni mnafiki tu bali pia huna akili kabisa. Yaani wewe ni mnafiki na ni zero brain kabisa

Toa hoja hata kwa mtazamo wako ulionao kuhusu mimi. Kama nilichoandika kimekushinda kujadili.

Tufanya unayosema ni sawa na watu wanataka wawe na mtazamo kama wako kunihusi. Embu toa hoja kuwashawishi.

Au ni uamuzi wako binafsi?
 
Nyuzi zako kabla na baada ya maandamano ,ina onyesha you're just an obsessed content creator.

Kutoka kuwa Robert hadi Roba, kaka shida nini? Is it a demon or it's the demeanor of trending ndio ina kuchanganya!.
 
Shida sio yangu shida ni baadhi ya wasomaji kutaka niandike yaliyomo kichwani mwao au kulingana na mitazamo yao.

Embu tujadili kwa mfano nilichoandika sasa hivi.

Tutajadili kasoro ambazo unadhani umeziona.

Mimi nimeeleza hali iliyokuwepo eneo la tukio, wahusika, athari na upande wangu kama shuhuda jinsi ilivyokuwa.
Nataka nione kasoro uliyoona kwa nilichoandika kisha itajulikana nani mwenye tatizo.

Elezea kama ilivyo usielezee upande uliopo
 
Acha kutuandikia uongo hapa hukutoka siku zote 6 ulikua umejifungia ndani na kujifunika shuka
 
Hawa WAHUNI WA DULLAH ndio unaita "nguvu ya dola"?

Jielekeze vizuri wewe, utachanganyikiwa.
No matter what, yale yalikuwa ni vandalism, arson, riots ambazo no authority world wide would tolerate.
 
Waandamanaji walikuwepo mkuu.
Nimeshuhudia kwa macho yangu lakini waliharibiwa na wahalifu ambao kimsingi wao ndio waliwapa ujasiri wa kuingia barabarani.

Lakini kila mtu alikuwa na lengo na maslahi yake hapa ndipo mkwamo ulikuwepo
Waandamanaji hubeba mabango ya mambo ambayo wana advocate to the larger public. Hawa unaowaita Waandamanaji sikuona hicho kitu
 
Bwana Robert makala zako zinazidi kunifundisha, mtu asimamie anachokiamini no matter what!!
Umekuwa mtu wa here-and-there hasa kwenye issue za kisiasa. Kijamii upo vizuri ila kwenye siasa nadhani unahitaji namna nyingine ya kujitanabaisha.

Mimi kama kaka mkubwa nakupa my five cents.
 
Waandamanaji hubeba mabango ya mambo ambayo wana advocate to the larger public. Hawa unaowaita Waandamanaji sikuona hicho kitu

Ni kweli hakukuwa na waandamanaji waliobeba mabango.
Lakini ni kweli pia walikuwepo waandamanaji wa amani na dhati kabisa waliokuwapo eneo la tukio.

Sina sababu ya kudanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…