GE2025 My side: Hali jinsi ilivyokuwa tarehe 29. Maandamano, usaliti, uhalifu na mauaji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sio salama na sioni tiba kwa namna hiyo ya uombaji wa haki.

Naona kama ni mbinu ya karne za kale kidogo, ikizoeleka hii basi tujiandae na makubwa zaidi ya haya.
 
Hiyo ilikuwa saa moja mpaka saa nne unusu.

Kilichotokea kitupe mafunzo chanya zaidi kuliko hasi
Kikundi flan au jamii flan ikilalamika watu wote tunapaswa kuungana juu ya kuishinikiza serikali ifanyie kazi hayo malalamiko

Vinginevyo kikichafuka watu wote tutaadhilika masikin kwa matajiri wanaohusika na wasiohusika
 
WEWE JAMAA NI LINAFIKI SANA. UNAKUMBUKA UZI WAKO ULIOSEMA KUWA KUTAKUWA HAKUNA MAANDAMANO.

ELEWEKA MSIMAMO WAKO TUJUE

Msimamo kwenye nilichoshuhudia au kwenye kitu gani?

Maana mimi mwenyewe sielewi watu aina yako mnataka kitu gani.
Watibeli msimamo wetu upo wazi na sio siri.
HAKI, UPENDO, AKILI NA UKWELI huo ndio utibeli na ukitaka kunielewa basi wafikirie hayo mambo manne.
Kama huyaelewi hayo huwezi kunielewa mimi
 
Wewe mwenyewe ulikuwa mchochezi fungal kopo lako
 
Hawa walijificha ndani alafu wanataka watumiwe picha waone kilichotokea au wanataka serikali iwashe mitandao ili wapate umbeya wakati wenzao wakiwa field.
Hukuona chochote na mtu akisoma kidogo tu atajua umebuni. Wewe ni Yeriko ''Nyerere'' ni kama mapacha kitabia.
 
Hukuona chochote na mtu akisoma kidogo tu atajua umebuni. Wewe ni Yeriko ''Nyerere'' ni kama mapacha kitabia.

Unafikiri nipo hapa kushawishi au kumshawishi yeyote?
Nafikiri huelewi hata kwa nini upo hapa kwenye uzi huu na unasoma na kutoa maoni yako hapa.
 
Unafikiri nipo hapa kushawishi au kumshawishi yeyote?
Nafikiri huelewi hata kwa nini upo hapa kwenye uzi huu na unasoma na kutoa maoni yako hapa.
Basi wewe ni mjinga kabisa. Huo uharo wote ulioandika umemwandika nani? Maandishi yoyote yanalengwa kwa wasomaji. Wewe ni Yeriko ni akili kisoda tu.
 
Nimeona nywinywi.......

Ila pia sijaona kama uliwaona vijana kutoka nchi za nje.

Labda kama hao waliotoka kata nyingine wakatajwa ndo wageni kutoka nje. Ufafanuzi tafadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…