My Story..

Basi nikawa sijarudi nyumbani takribani mwaka mzima...Siku nilivyorudi nikakuta home Kuna amani nikafurahi sna..Ndugu yangu mmoja alienda kubeba boksi karudi kanunua gari..Furaha ikazidi.
Nilkaa kidogo ila nikanotice mambo yamebdilika sana.Mzee alipoenda sna kukaa na mm akawa haupendi kukaa na mm.Nikaona Kwa kuwa Kuna amani basi ni heri.
Likizo ilirudi nikarudi kazini..Nikaanza Tenga na wenzangu nikawa sielewi noni kimetokea ..Tulikuwa tunaenda wote boda..wakawa wanaenda wenyewe.. Hali hii iliniumiza sana..Uchangamfu ukapotea kabisa.Sura ya uchangamfu ikafa ndani yangu.
Ikafika kipindi Nilikuja kujifungua nyumbani(sitausimulia hw nilipata mimba).Siku zilipofika sikuwa na uchungu so nikapelekwa hosp...Nilitundukiwa dripu ya uchungu nikajifungua salama.....
 
He huyo mangi lazima atakuwa na undugu na Mzee Musa๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ