My Story..

My Story..

Basi nikawa sijarudi nyumbani takribani mwaka mzima...Siku nilivyorudi nikakuta home Kuna amani nikafurahi sna..Ndugu yangu mmoja alienda kubeba boksi karudi kanunua gari..Furaha ikazidi.
Nilkaa kidogo ila nikanotice mambo yamebdilika sana.Mzee alipoenda sna kukaa na mm akawa haupendi kukaa na mm.Nikaona Kwa kuwa Kuna amani basi ni heri.
Likizo ilirudi nikarudi kazini..Nikaanza Tenga na wenzangu nikawa sielewi noni kimetokea ..Tulikuwa tunaenda wote boda..wakawa wanaenda wenyewe.. Hali hii iliniumiza sana..Uchangamfu ukapotea kabisa.Sura ya uchangamfu ikafa ndani yangu.
Ikafika kipindi Nilikuja kujifungua nyumbani(sitausimulia hw nilipata mimba).Siku zilipofika sikuwa na uchungu so nikapelekwa hosp...Nilitundukiwa dripu ya uchungu nikajifungua salama.....
 
Ep 7
Turudi nyuma kidogo..Kabla sijaenda Dar nikakutana na huyu wa primary likizo ziligongana za mwezi wa 12..Huyu kwao mambo safi sio kama kina Mimi.basi Nikaenda kwao kufika akasema tukatembee...Nikatembezw ghafla tukafika kwenye nyumba nzuri nzuri tukaingia getini.Akasema tuingie ndani.Mm huyo nikavua viatu!!Lahaula naona watu wananicheka.Ndyo nagundua hapo Lodge...Mm sijawahi enda Lodge toka nizaliwe...Afu hakukuwa na kibao..Nikavaa viatu Kwa aibu ...Tukaenda ndani!Mm nikakomaa jamaa ananibembeleza hapo Tulane mm nikakataaa...Hapo Nye***nasikia ila hata sielewi...Kukuru kakara Tukatoka hola ..Jamaa yule hakunila...ndyo ikaishia hapo..Uhusiano ikafa hapo..

Turudi Kwa baharia Mangi.Nikafika chuoni mchana mchana hivi.Kufika pale akazuga anapenda neno la Mungu.Akaaza kusoma zile bible za msaada vile vidogo vya kiinglish.(Anajua mm napenda mambo hayo)baada ya hapo ghafla mtu huyu hapa...vitanda vya chuo vile vidogo kama vya Hall one Udsm kilitufit Vyema ...Nilibembelezwa nikabembelezeka nikajikuta naachia mwenyewe..
Nikipata maumivu makali...Bt baada ya like Tendo Mangi ananiambia Mimi unajua nakupenda sana lakini siwezi kuwa nawe umenizungusha Miaka 5!!Mm Hee!!Be strong utapata mwingine!!!
He huyo mangi lazima atakuwa na undugu na Mzee Musa😒😒😒😒
 
Back
Top Bottom