Tommorow or today
Member
- Jan 4, 2024
- 46
- 130
- Thread starter
-
- #81
Nashangaa,wee endelea mwayaKuna ubaya?
Nimekumbuka ...nilivyokuwa natembelewa na vitu Dr mmoja aliwahi niambia...Ila nilipona Kwa mtumishi mmoja hivi..Sasa hivi anawafuasi wengi.Nilenda kujaribu na mm ile Hali iliisha yaani wadudu waliruka fyuuuu nikawaona wanapasukaa...MBali na mambo ya ushirikina , ulikuwa tayari umepata psychosis
Nimemaliza mwayaNashangaa,wee endelea mwaya
ukonga.Jimbo la wapi hilo
Sawa...Hiki nishasali pia.Ndyo sla yangu kuu.Ahsante nitaendelea kusaliPole sana, Mungu mkuu akutunze. Tafuta Kitabu Cha Sala Cha Mtakatifu Rita wa Kashia, ukitumie. Yote yatabakia historia
Haya ...karibu mkuuukonga.
Ahsante nitajitahidi ....Fuatilia maombi ya uponyaji, anza na mtumishi James Phred Kawayla.
Tafuta 'Divorcing Spiritual Forces of Darkness'.
Jazwa na Roho Mtakatifu unene kwa lugha, hii Vita sio ya kuomba kwa lugha ya kibinadamu, unahitaji lugha ya mbinguni.
Mental illness is real....mauchawi yapo yanatesa wengiiii...Chuki na husda zimejaa kwenye koo zetu Za kiafricaNini Funzo la simulizi hii?
Unaonaje nikutafute.. no thanks
Hapa kwenye ‘Divorcing Spiritual Forces of Darkness’ fafanua vizuri ndugu, ni kitabu au?Fuatilia maombi ya uponyaji, anza na mtumishi James Phred Kawayla.
Tafuta 'Divorcing Spiritual Forces of Darkness'.
Jazwa na Roho Mtakatifu unene kwa lugha, hii Vita sio ya kuomba kwa lugha ya kibinadamu, unahitaji lugha ya mbinguni.
Amen...Naamini imekuwaAsante kwa stori yako na fundisho kubwa tunaloendelea kulipata. Hakika hadithi ya maisha yako inasisimua sana. Nakuombea kwa MUNGU akufanyie wepesi uishi maisha ya furaha yasiyokuwa na mashaka hata chembe. Naamini hili kwa MUNGU linawezekana, na unayopitia yatapita.
Kuna mda utakuja kuamini tu, mda utaongea.Bado Niko kwenye illusion