My Story..

My Story..

Nimeweka my story...wale wenye mtazamo wa kiyakinifu waje na wakidhanifu.Nimeficha vingi sna.Hivyo nitaheshimu mawazo ya Kila mmoja!!Anayesema ninaumwa akili nitayaheshimu mawazo yake na Anayesema kurogwa nitayaheshimu...Sijaelezea mengi sana nikieleza nitajianika. Nimeandika ilo kutua mzgo moyoni.Thanks mliofuatilia.
 
Fuatilia maombi ya uponyaji, anza na mtumishi James Phred Kawayla.

Tafuta 'Divorcing Spiritual Forces of Darkness'.

Jazwa na Roho Mtakatifu unene kwa lugha, hii Vita sio ya kuomba kwa lugha ya kibinadamu, unahitaji lugha ya mbinguni.
 
Ahsante nitajitahidi ....
 
Fuatilia maombi ya uponyaji, anza na mtumishi James Phred Kawayla.

Tafuta 'Divorcing Spiritual Forces of Darkness'.

Jazwa na Roho Mtakatifu unene kwa lugha, hii Vita sio ya kuomba kwa lugha ya kibinadamu, unahitaji lugha ya mbinguni.
Hapa kwenye ‘Divorcing Spiritual Forces of Darkness’ fafanua vizuri ndugu, ni kitabu au?
 
Asante kwa stori yako na fundisho kubwa tunaloendelea kulipata. Hakika hadithi ya maisha yako inasisimua sana. Nakuombea kwa MUNGU akufanyie wepesi uishi maisha ya furaha yasiyokuwa na mashaka hata chembe. Naamini hili kwa MUNGU linawezekana, na unayopitia yatapita.
 
Amen...Naamini imekuwa
 
Back
Top Bottom