Tommorow or today
Member
- Jan 4, 2024
- 46
- 130
- Thread starter
- #81
Nimeweka my story...wale wenye mtazamo wa kiyakinifu waje na wakidhanifu.Nimeficha vingi sna.Hivyo nitaheshimu mawazo ya Kila mmoja!!Anayesema ninaumwa akili nitayaheshimu mawazo yake na Anayesema kurogwa nitayaheshimu...Sijaelezea mengi sana nikieleza nitajianika. Nimeandika ilo kutua mzgo moyoni.Thanks mliofuatilia.