My Tribute to Samia Suluhu Hassan! Kenya inaisifu Tanzania!

Machawa wamegeukia vivuli vya majirani..like jua ije mvua mwisho wa Samia ni October
 
Mkuu system imesifiwa na Kenya kwa kuwa Tanzania system iko Intergrated.
Akatoa mfano idara zote za serikali zinalipwa siku mmoja tofauti na kwao.
Nani kachangia hio system haipo kwenye hoja ya msemaji wa Kenya.
Yeye kazungumzia uzuri wa system yetu kulinganishwa na ya kwao.
 
Mtu aliyegeuzwa kuwa mwanaselele kama wewe huwa hamna aibu kabisa, kama asivyo kuwa na soni katika kusema uongo na kuwalaghai watu huyo mama yako anaye endesha akili zako sasa hivi.
Kwa maana hiyo, sitaendelea kupoteza muda wangu hapa kujibishana na mtu ambaye kazimwa akili.
 
Mimi niko na free mind!! Sipelekwi na mihemuko ya balehe kama ninyi! Mimi ni mtu mzima sana sishabikii watu wahuni!
EEeeenHEEeeeee!
Bila shaka yoyote; unaendelea kuonyesha "uutu uzima" wako na" busara" zako ukifuata mfano wa Mbowe, au siyo?
Inasikitisha sana kwa mtu kama Mbowe kujivunjia heshima zote alizo kwisha jijengea ndani ya nchi hii, kwa kuhadaiwa kirahisi kiasi kile, tena na mtu ambaye hana uwezo kabisa wa kuhadaa mtu mwenye akili timamu.
 
Umechanganyikiwa!! Maana watu wenye akili timamu hujibu hoja au kufanya analysis ya kilichopo mezani haya uliyoandika yana uhusiano gani na topic?
 
You could be sick!! I wish you best of luck with your illness!
 
Kuna binaadam ambao fedha ni kila kitu kwao; kununuliwa utu wao hilo ni jambo lisilowastua kabisa. Huyu ni mfano mzuri kabisa wa watu wa aina hiyo.
Peleka mbele tumbo lako huko…… hicho kichaa peleka milembe shwaini nyie.
 
You could be sick!! I wish you best of luck with your illness!
Very satisfied and grateful that the message has been delivered successfully and understood. Have no wish to pursue this any further at this point.
 
Kiongozi, nazungumzia maendeleo kati ya Tanzania na Kenya katika ujumla wake. Inawezekana unafahamu ama la kuwa maendeleo ya Kenya yameizidi Tanzania. Kama hufahamu fuatilia general development ranks of countries kwa nchi za Afrika. Utayapata majibu huko. Tusibishane na maarifa na taarifa sahihi.
 
Kati yangu na wewe anayefanya generalisatikn nani?

Hayo maendeleo unayozungumzia ni yapi?

Human development Index?
  • GDP?
  • GDP Per Capita?
  • Gini Coefficient?
  • Income Range?
  • Number millionnaires?
  • Debt per GDP Ratio?
  • Economy Inequality?
  • Food Security?
  • Safety?
 
Nazungumzia GDP/nation income. Pato la taifa Kenya ipo juu zaidi kuliko Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…