My Tribute to Samia Suluhu Hassan! Kenya inaisifu Tanzania!

My Tribute to Samia Suluhu Hassan! Kenya inaisifu Tanzania!

Off course watu wanapolalamikia mambo haimaanishi kila kinachofanyika nchini ni kibaya. Watu wanalalamikia mabaya.

Cha maana hapa na wao waende Kenya kujifunza mazuri ya huko watuletee hapa kama vile Tume huru.
Hivi kwanini wanasiasa wengi ukiacha habari za chaguzi huwa mnafunika macho kuona mengine?
 
Ukiipenda nchi yako, huwezi kupenda kila wanachofanya wanasiasa.
Ukimsikiliza Lissu ni habari za uchaguzi na tume huru tu sijawai msikia akijadili habari za kumkwamua maskini wa Tanzania!
 
Ukimsikiliza Lissu ni habari za uchaguzi na tume huru tu sijawai msikia akijadili habari za kumkwamua maskini wa Tanzania!
Yule ni mwanasiasa. Na wanasiasa wote wako.

Hata CCM saa 24/7 ni kampeni tupu.

Tena kampeni ya kisiasa inayoambatana na matumizi makubwa sana ya pesa za umma.

Juzi, wamehonga wasanii kupeleka Dodoma, kuwapa mikopo ambayo wengi hawajarudisha na wamekopa pesa halafi wanataka kujenga Ukumbi wa burudani.

Hayo ni matumizi ya ovyo sana.
 
😂 😂 Kweli Mbowe alikuwa mtu wa hovyo sana pale chadema! Ona wafuasi wake akili zao!

Baada ya Mbowe kupigwa chini mleta mada amekuwa na mawenge hatimae karudi kumsifia Samia kama ilivyo kwa boss wake Mbowe!

Hakika Mbowe alikuwa kirusi chadema
 
Ukimsikiliza Lissu ni habari za uchaguzi na tume huru tu sijawai msikia akijadili habari za kumkwamua maskini wa Tanzania!
Haya maneno uliwahi kutamka hivyo hata kabla ya Mbowe kula kibano?
 
Team Mbowe sasa yamekuwa machawa ya chura kiziwi
 
Ulitaka nimsifu Magufuli wakati hatuko naye?
Mtu hufa ila matendo yake mabaya/mazuri hudumu milele.
Hivyo Sifa au Shutuma anastahili apewe mhusika bila kujali yuko hai àu amekufa.

Kama ilivyo kwa akina Isaac Newton, Galileo Galilei, Adolf Hitler n.k hata kwa Magufuli pia.
 
😂 😂 Kweli Mbowe alikuwa mtu wa hovyo sana pale chadema! Ona wafuasi wake akili zao!

Baada ya Mbowe kupigwa chini mleta mada amekuwa na mawenge hatimae karudi kumsifia Samia kama ilivyo kwa boss wake Mbowe!

Hakika Mbowe alikuwa kirusi chadema
Bado hujasema!!
 
Team Mbowe sasa yamekuwa machawa ya chura kiziwi
Umemaikia lakini CAG wa Kenya anavyoisifia mifumo imara yenu uwazi ya fedha Tanzania? Hujisikii vizuri kuwa Nchi yako walau inasifiwa japo kidogo?
 
Haya maneno uliwahi kutamka hivyo hata kabla ya Mbowe kula kibano?
Nimemkosoa sana Lissu kuhusu hotuba zake kuwa ajitahidi sana kugusia Uhalisia wa maisha ya Mtanzania….. si rahisi bibi yangu wa Kiraracha akaelewa mambo ya katiba kuanzia asubuhi mpaka jioni!
 
Nimemkosoa sana Lissu kuhusu hotuba zake kuwa ajitahidi sana kugusia Uhalisia wa maisha ya Mtanzania….. si rahisi bibi yangu wa Kiraracha akaelewa mambo ya katiba kuanzia asubuhi mpaka jioni!
Wewe ni CHADEMA??

Binafsi, sipendi kuamlia wanasiasa sera zao, iwe CHADEMA, ACT, CCM nk.

VYama vina sera za ovyo tu.

The issue ni HAKI YA KURA ya MWANANCHI.

CCM iache tamaa za kuiba kura mpaka za Mwenyekiti wa Kitongoji.

Uishinda sawa, ukifeli sawa, utajaribu tena.

Kwasababu ukiiba kura humkomoi Lissu na sera zake mbovu, ila unamkomoa Aliyepiga hiyo kura.

Na si kila mtu ndani ya CCM ni mzuri na si kila mtu wa upinzani ni mzuri.
 
Nimemkosoa sana Lissu kuhusu hotuba zake kuwa ajitahidi sana kugusia Uhalisia wa maisha ya Mtanzania….. si rahisi bibi yangu wa Kiraracha akaelewa mambo ya katiba kuanzia asubuhi mpaka jioni!
Unafikiri hatukujui humu jukwani?
 
Aisifuye mvua imemnyea, no problem, waliomsifia wangapi mkuu! Au jinchi lote tu?
 
Back
Top Bottom