Sifa kubwa apewe Samia,
Kauli yake ya mifumo isomane imesaidia saana, kwa sasa implementations iko 80%, watanzania watafurahi saana mifumo ikisomana complete.
Anachozungumzia huyo mama ni mifumo ya pesa na kiutumishi kusomana,
It's a big step and there is more coming as things are still cooking
Kikubwa kingine anachofanya huyu mama ni kuanza kukopa kutoka ndani,najua hii iko kwenye pilot kutumia zile hati fungani za Samia infrastructure bonds na bonds za maji kule tanga. If pilot ikikamilika atazungusha saana hela za watanzania katika kuleta maendeleo Yao bila kusumbuliwa na wazungu.
I think there a lot to come kutoka kwa huyu mama, tumpe muda