The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Mods Naomba kichwa cha Habari kisome Kenya Inaicheka Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapigaji kwa makusudi kabisa wanafurahia mfumo huo ili pawepo na mianya ya kutosha ya uchotaji wa fedha. Hii mifumo ilipoanza kupambaniwa na IMF walikuwa wa kwanza kuipokea ila wakatafuta namna ya kutoiendeleza. Kule kuna mafisadi papa. Baada ya miaka mitano tena watarudi kubenchmarkNimejionea hii taarifa nikasukumwa kuandika huu uzi kuhusu serikali ya Tanzania ya sasa!
Kwa muda mrefu nimekua mkosoaji nguli wa serikali za CCM kuanzia kwa JK hadi kwa Samia!
Kwa hivi karibuni trend ya uchumi wa Tanzania, mapambano dhidi ya Rushwa, harakati za matumizi ya nishati safi, ujenzi wa miundombinu na maboresho makubwa katika utumishi wa umma huyu mama Samia anastahili pongezi za pekee!
Kikubwa kilichonifurahisha na kunisukuma kuandika huu uzi ni juu ya usafi katika mwenendo mzima wa usajili na uwazi wa matumizi ya madeni ya nchi. Mkaguzi mkuu wa Hesabu za kenya anasema wanapaswa kujifunza na kuiga huu mfumo bora kabisa toka Tanzania.
Hii video hapo chini ni kutoka nchi ya Kenya tunayoamini na kuisifu ipo mbali sana kuliko Tanzania katika katiba na mengine mengi wanakiri kuja kujifunza Tanzania juu ya uwazi katika fedha!! Rais Ruto alikiri Tanzania inaizidi Kenya kwa exports!!
Hakika mwanamke anaweza na anaweza tena!
Huu uzi umenifanya niwakumbuke akin mama shupavu sana akina Benazir Buto, Angela Markel, Margaret Thatcher na Her majesty the Queen Elizabeth II wa Uingereza!!
My Tribute to Samia Suluhu Hassan! Hongera Samia hongereni wanawake Mnaweza!
Sina shaka umetembelewa na Bwana Abduli. Watu wengine akili zenu zote zimo tumboni.Kwa hivi karibuni trend ya uchumi wa Tanzania, mapambano dhidi ya Rushwa, harakati za matumizi ya nishati safi, ujenzi wa miundombinu na maboresho makubwa katika utumishi wa umma huyu mama Samia anastahili pongezi za pekee!
Yapo mawili, Kalipwa au Katekwa, Usisahau ya Ole Mushi kukanusha kulishwa sumu hadi akafaSina shaka umetembelewa na Bwana Abduli. Watu wengine akili zenu zote zimo tumboni.
Ni "...mapambano yapi dhidi ya rushwa" yanayokuzima akili kama siyo pochi la Abduli?
Haki yako ya kupiga kura kuwachagua viongozi wako kwa kutumia akili yako mwenyewe huoni umuhimu wake ?
Nilikuwa sahihi nilipo kugundua hivi karibuni kuwa umeingiliwa na gonjwa kichwani mwako.
Very very very low! Kumbe wewe ni kiazi hivi?Kuna maboresho mengi sana kwa huo mfumo tangu hiyo 2017 mpaka sasa! Namsifu kwa kuusimamia na kuuendeleza pia!! Pia yeye ndiye mkuu wa Nchi hivyo anastahili kubeba sifa pamoja na lawama juu ya mambo yote ya serikali. Ulitaka nimsifu Magufuli wakati hatuko naye?
Mtu kama huyu mleta mada hii ni dhahiri anasukumwa na maslahi, hana msimamo wa kujitegemea katika fikra zake kuhusu maswala kama haya. Hii ipo wazi kabisa hata katika uwasilishaji wa mada husika.Kenya kaja kujifunza namna ya kuweka kumbukumbu za madeni. Wewe unasema huo utaratibu sifa apewe Samia lakini huo utaratibu umekuwepo toka Nyerere, wa kujua nani katukopesha ila wewe unasema sifa apewe Samia, hapo ndio shida ya uchawa inapokuja.
Huu utaratibu wa kuweka rekodi sahihi za madeni tunao miaka yote, na miaka yote watanzania tumekua tukiambiwa deni letu ni kiasi gani. Sasa Samia anaingiaje hapo?
Kama mtu kafanya jambo jema asifiwe ila hii sio hoja kabisa.
Nami nilishangaa kama wewe, kwa sababu huyu mtu zamani nilimwona vingine na alivyo sasa!Very very very low! Kumbe wewe ni kiazi hivi?
Tangu Mbowe ashindwe uchaguzi, ameamua kurudi kwa Samia huku akijiapiza kuwa Lissu ni lazima akiue chama. Very interesting!Nami nilishangaa kama wewe, kwa sababu huyu mtu zamani nilimwona vingine na alivyo sasa!
Wanawake kwa kusifiana mko vizuri. Na bado hujasema hadi useme.Nimejionea hii taarifa nikasukumwa kuandika huu uzi kuhusu serikali ya Tanzania ya sasa!
Kwa muda mrefu nimekua mkosoaji nguli wa serikali za CCM kuanzia kwa JK hadi kwa Samia!
Kwa hivi karibuni trend ya uchumi wa Tanzania, mapambano dhidi ya Rushwa, harakati za matumizi ya nishati safi, ujenzi wa miundombinu na maboresho makubwa katika utumishi wa umma huyu mama Samia anastahili pongezi za pekee!
Kikubwa kilichonifurahisha na kunisukuma kuandika huu uzi ni juu ya usafi katika mwenendo mzima wa usajili na uwazi wa matumizi ya madeni ya nchi. Mkaguzi mkuu wa Hesabu za kenya anasema wanapaswa kujifunza na kuiga huu mfumo bora kabisa toka Tanzania.
Hii video hapo chini ni kutoka nchi ya Kenya tunayoamini na kuisifu ipo mbali sana kuliko Tanzania katika katiba na mengine mengi wanakiri kuja kujifunza Tanzania juu ya uwazi katika fedha!! Rais Ruto alikiri Tanzania inaizidi Kenya kwa exports!!
Hakika mwanamke anaweza na anaweza tena!
Huu uzi umenifanya niwakumbuke akin mama shupavu sana akina Benazir Buto, Angela Markel, Margaret Thatcher na Her majesty the Queen Elizabeth II wa Uingereza!!
My Tribute to Samia Suluhu Hassan! Hongera Samia hongereni wanawake Mnaweza!
Toka Mbowe ameshindwa kashindwa kukaa sawa. Anaulazimisha uchawa ili apate faraja, lakini chawa halisi hawamtaki maana wanajua ana maluelue ya uchaguzi.Nami nilishangaa kama wewe, kwa sababu huyu mtu zamani nilimwona vingine na alivyo sasa!
Ahaah. Kumbe?Toka Mbowe ameshindwa kashindwa kukaa sawa. Anaulazimisha uchawa ili apate faraja, lakini chawa halisi hawamtaki maana wanajua ana maluelue ya uchaguzi.
Umeisikiliza clip vizuri lakini?Wapigaji kwa makusudi kabisa wanafurahia mfumo huo ili pawepo na mianya ya kutosha ya uchotaji wa fedha. Hii mifumo ilipoanza kupambaniwa na IMF walikuwa wa kwanza kuipokea ila wakatafuta namna ya kutoiendeleza. Kule kuna mafisadi papa. Baada ya miaka mitano tena watarudi kubenchmark
Pole sana sana! Sijarudi kokote zaidi ya kuwa na free mind!! Mimi sigeuzi watu miungu Kama ambavyo ninyi mnawaona mnaofikiri ni aatakatifu sana! Uzuri hivi vitu huwa vina muda! Muda husema na kuamua kwa haki!Tangu Mbowe ashindwe uchaguzi, ameamua kurudi kwa Samia huku akijiapiza kuwa Lissu ni lazima akiue chama. Very interesting!
Nimejionea hii taarifa nikasukumwa kuandika huu uzi kuhusu serikali ya Tanzania ya sasa!
Kwa muda mrefu nimekua mkosoaji nguli wa serikali za CCM kuanzia kwa JK hadi kwa Samia!
Kwa hivi karibuni trend ya uchumi wa Tanzania, mapambano dhidi ya Rushwa, harakati za matumizi ya nishati safi, ujenzi wa miundombinu na maboresho makubwa katika utumishi wa umma huyu mama Samia anastahili pongezi za pekee!
Kikubwa kilichonifurahisha na kunisukuma kuandika huu uzi ni juu ya usafi katika mwenendo mzima wa usajili na uwazi wa matumizi ya madeni ya nchi. Mkaguzi mkuu wa Hesabu za kenya anasema wanapaswa kujifunza na kuiga huu mfumo bora kabisa toka Tanzania.
Hii video hapo chini ni kutoka nchi ya Kenya tunayoamini na kuisifu ipo mbali sana kuliko Tanzania katika katiba na mengine mengi wanakiri kuja kujifunza Tanzania juu ya uwazi katika fedha!! Rais Ruto alikiri Tanzania inaizidi Kenya kwa exports!!
Hakika mwanamke anaweza na anaweza tena!
Huu uzi umenifanya niwakumbuke akin mama shupavu sana akina Benazir Buto, Angela Markel, Margaret Thatcher na Her majesty the Queen Elizabeth II wa Uingereza!!
My Tribute to Samia Suluhu Hassan! Hongera Samia hongereni wanawake Mnaweza!
Umisikiliza video clip vizuri lakini? Huyo anaeisifia Tanzania si Mimi Bali ni CAG kutoka Nchi mnayoihusudu sana KENYA!!Sina shaka umetembelewa na Bwana Abduli. Watu wengine akili zenu zote zimo tumboni.