Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
Kwahiyo kiongozi tuzamishe taifa sio?Mtu mwenye akili nzuri hawezi kuwa mzalendo.
Wale wanaoshikwa akili ndio wanauwezekano mkubwa wa kuwa wazalendo. Wenye akili iliyotulia hadi wakipende kitu lazima wawe na maslahi nacho wala si kushawishiwa na wengine.
Hoja yangu ni kwamba, ili uwale mzalendo lazima uwe mtu uliyepandikiziwa imani fulani kuhusu nchi yako. Na mara nyingi watu wengi ambao wako smart huwa hawakubali kupandikiziwa tu imani fulani, wao sio watu wa kuamini tu bali ni watu wanaipenda logic Ili kukubaliana na jambo.Kwahiyo kiongozi tuzamishe taifa sio?
Maslahi binafsi sikatai lakini hapa tunaangalia picha kubwa.Kama ideology za ubinafsi zikaingia maana yake ni kwamba unaruhusu mwenye nacho akandamize asiye kuwa nacho.Hii itabariki mauaji na utekaji kitu kinachoweza kuleta class struggle
Shida kubwa sana hii.Hili taifa linaweza kuzama muda wote wote.Kama idadi ya watu ambao ni loyal kwa hili taifa ni ndogo sana basi ni kazi kweli kweli, maana pakitokea msukumo wa nje ni kwamba tumeisha wote sasa.Hoja yangu ni kwamba, ili uwale mzalendo lazima uwe mtu uliyepandikiziwa imani fulani kuhusu nchi yako. Na mara nyingi watu wengi ambao wako smart huwa hawakubali kupandikiziwa tu imani fulani, wao sio watu wa kuamini tu bali ni watu wanaipenda logic Ili kukubaliana na jambo.
Hata hivyo, watanzania ambao ni wazalendo ni wachache sana. Kinachofanya kwa kiasi fulani mambo yaende ni kwamba watu wanabanwa na sheria.
We ulitaka iweje mkuu. Uzalendo kwako ni nini?Shida kubwa sana hii.Hili taifa linaweza kuzama muda wote wote.Kama idadi ya watu ambao ni loyal kwa hili taifa ni ndogo sana basi ni kazi kweli kweli, maana pakitokea msukumo wa nje ni kwamba tumeisha wote sasa.
Uzalendo nimeeleza kwa tafsiri yangu ambayo inaweza kuwa tofauti na wengine lakini kuna vitu muhimu lazima vionekane ukiongelea uzalendo navyo ni:Kuheshimu sheria na taratibu za nchi,utamaduni,historia ya taifa,watu na rasilimali za taifa.Mengine yanaweza kuongezekana lakini hayo ni mambo ya msingi sanaWe ulitaka iweje mkuu. Uzalendo kwako ni nini?
Mzalendo ni mtu tofauti na shabiki wa soka na mbaguzi wa rangi kiongozi.Kuhusu wafia dini sitaweka neno maana wanadai imani ndiyo inawaongoza lakini huku kwingine reasoning ni nguzo kuuMfia dini,
mzalendo,
shabiki lialia wa soka,
mbaguzi wa rangi.
Wote hawa ☝️ nawaweka katika kundi la watu wanaopaswa kuwahishwa Mirembe kwa msaada zaidi.
Kuheshimu sheria na taratibu za nchi ndicho kitu pekee kinachofanya kuwe na kaunafuu kidogo . Hakuna uzalendo kabisa.Uzalendo nimeeleza kwa tafsiri yangu ambayo inaweza kuwa tofauti na wengine lakini kuna vitu muhimu lazima vionekane ukiongelea uzalendo navyo ni:Kuheshimu sheria na taratibu za nchi,utamaduni,historia ya taifa,watu na rasilimali za taifa.Mengine yanaweza kuongezekana lakini hayo ni mambo ya msingi sana
Shida sana hii.Safari yetu inaweza kuwa ngumuKuheshimu sheria na taratibu za nchi ndicho kitu pekee kinachofanya kuwe na kaunafuu kidogo . Hakuna uzalendo kabisa.
Tusifike huko kiongozi.Hapa JF unakanywa na waliokuwa CCMView attachment 3638199
Mzalendo kwa maneno machache yukoje? Hebu mfafanue kwa maneno machache sana.Mzalendo ni mtu tofauti na shabiki wa soka na mbaguzi wa rangi kiongozi.Kuhusu wafia dini sitaweka neno maana wanadai imani ndiyo inawaongoza lakini huku kwingine reasoning ni nguzo kuu
Mtiifu kwa taifa lake,mlinzi kwa taifa lake na mwenye upendo kwa watu na rasimali za taifa lakeMzalendo kwa maneno machache yukoje? Hebu mfafanue kwa maneno machache sana.
Uzalendo unasababishwa na nini?Mtiifu kwa taifa lake,mlinzi kwa taifa lake na mwenye upendo kwa watu na rasimali za taifa lake
Kabisa kabisa!Shida sana hii.Safari yetu inaweza kuwa ngumu
Hiki kitu kinatoka moyoniUzalendo unasababishwa na nini?
Yaani inakuwaje kuwaje hadi unakuwa mzalendo?
Motoni mwa Kila mtu au katika mioyo ya baadhi ya watu?Hiki kitu kinatoka moyoni