maombi ya watakatifu kwa Mungu wanaoiombea nchi hii istawi..
lakini mazindiko makubwa na matambiko makubwa na makafara makubwa ya inji katika madhabahu za giza SHEATNI na maagano na mikataba na kuzimu ..na shetani(mwenge)..foreje gonze, sheikh yahya..wamekwisha kuwasha mwenge..
waombaji tuendelee kuiombea nchi hii KWA SABABU kuzimu bado haijashiba damu ,bado inadai damu,..KAMA WAOMBAJI TUSIPOIOMBEA NCHI HII KWA MACHOZI..kama hatutaiombea kwa Mungu nchi hii...yatatokea makubwa zaidi ya yale yaliyopita...ili yasitokee makubwa zaidi ya yale yaliyopita...na jinsi madhabahu na makafara yalivyokuwa na nguvu katika madhabahu za kuzimu...??
tuiombee sana inji hii...katika ulimwengu wa kiroho..kuzimu bado inadai damu nyingi zaidi ya zile zilizomwagika inataka tena damu..
tuombe sana...hali sio shwari katika ulimwengu wa roho(kwa sisi tunao ona mambo ya rohoni).