Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
- Thread starter
-
- #21
Haki ikiwa inatendeka,hofu hakuna kwa watu,huduma za jamii zinaboreshwa kila wakati,watu wanasikilizwa,usawa unakuepo,uwazi na uwajibikaji.Haya mambo yakiwa yako sawa mtu atakuwa huru na atapenda nchi yakeUzalendo unasababishwa na nini?
Yaani inakuwaje kuwaje hadi unakuwa mzalendo?
Uzalendo unatoka moyoni, kama kweli mzalendo huwezi kuwa fisadi na ukipata uongozi unawatumikia wananchi.Motoni mwa Kila mtu au katika mioyo ya baadhi ya watu?
Ndio maana kuna sehemu nikasema watanzania wanapenda viongozi na sio taifa.Kuna ripoti nyingi huwa zinasomwa kuhusu tuhuma za ufisadi lakini mara chache sana hatua zinachukuliwa lakini watanzania walivyo viumbe wa ajabu utakuta mtu ni mfuasi wa kufa na kupona kwa huyo mtu mwenye tuhuma za rushwaUzalendo unatoka moyoni, kama kweli mzalendo huwezi kuwa fisadi na ukipata uongozi unawatumikia wananchi.
Hahaha 😂, hii dhana ya uzalendo huwa nafananishwa na ile dhana ya unconditional love (kwamba mtu anaweza kumpenda mtu mwingine bila sababu).Haki ikiwa inatendeka,hofu hakuna kwa watu,huduma za jamii zinaboreshwa kila wakati,watu wanasikilizwa,usawa unakuepo,uwazi na uwajibikaji.Haya mambo yakiwa yako sawa mtu atakuwa huru na atapenda nchi yake
Kuwa fisadi kunatokana na tabia ya mtu (jinsi mtu alivyolelewa/ alivyojilea). Mwizi ni mwizi tu!Uzalendo unatoka moyoni, kama kweli mzalendo huwezi kuwa fisadi na ukipata uongozi unawatumikia wananchi.
Hapa sasa ndipo napopataka kwa maana kama uzalendo sio big deal maane yake turuhusu ideologies kama class struggle,survival of the fittest,regionalism and tribalism.Then tuone tutafika wapiHahaha 😂, hii dhana ya uzalendo huwa nafananishwa na ile dhana ya unconditional love (kwamba mtu anaweza kumpenda mtu mwingine bila sababu).
Uzalendo ni neno linalotumiwa na watu werevu kuwadanganya wengine wajitoe Kwa ajili ya nchi ilihali wao wanakula mema ya nchi.
Mtu mwerevu na anayefikiria mambo kwa mtiririko hawezi kuwa mzalendo hata siku Moja. Hata hao JWTZ mnaowaita wazalendo wanaliowa mamilioni ya pesa ndiyo maana wamekubali kujiita JWTZ.
Nijuavyo Mimi, mzalendo ni mtu aliyejazwa imani za kupumbavu pumbavu ili kutumikishwa na watu janja janja 🤣🤣🤣.
Hakuna mzalendo mwizi, umekabidhiwa nchi halafu unaanza kujinufaisha basi ujue wewe sio mzalendoKuwa fisadi kunatokana na tabia ya mtu (jinsi mtu alivyolelewa/ alivyojilea). Mwizi ni mwizi tu!
Sijasoma uzalendo ni kitu kibaya, ninachojaribu kusema ni kwamba binadamu mwerevu hawezi kuwa mzalendo kwa sababu Ili uwe mzalendo unahitaji kujaziwe vitu fulani akilini mwako.Hapa sasa ndipo napopataka kwa maana kama uzalendo sio big deal maane yake turuhusu ideologies kama class struggle,survival of the fittest,regionalism and tribalism.Then tuone tutafika wapi
Sawa mkuu.Hakuna mzalendo mwizi, umekabidhiwa nchi halafu unaanza kujinufaisha basi ujue wewe sio mzalendo
Kufa kwa ajili ya nchi yako hii inaweza kuwa na utata.Kusema kweli sijawahi kuona mtu kafia nchi.Hili neno huwa linakuzwa au kutumika vibaya au kupata tafsiri mbaya.Sijasoma uzalendo ni kitu kibaya, ninachojaribu kusema ni kwamba binadamu mwerevu hawezi kuwa mzalendo kwa sababu Ili uwe mzalendo unahitaji kujaziwe vitu fulani akilini mwako.
Ati, uwe tayari kufa Kwa ajili ya nchi yako wakati anayekubia hivyo analindwa au amejificha ,🤣🤣.
Maisha ya duniani asili yake ni survival of the fittest, lakini sheria mbalimbali zilizotungwa ndizo zinafanya tuishi kama tunavyoishi Leo.
Uzalendo Mimi huwa unanishinda.Kufa kwa ajili ya nchi yako hii inaweza kuwa na utata.Kusema kweli sijawahi kuona mtu kafia nchi.Hili neno huwa linakuzwa au kutumika vibaya au kupata tafsiri mbaya.
Ukishakuwa sehemu ya jumuiya fulani,in this case wewe ni mtanzania kupenda nchi yako ni wajibu sio ombi.
Kuhusu watu kuwa mafisadi wengine kubaki wachangiaji tu.Hii inakuwa ni dhuluma ambayo inabidi kupingwa.Ukiona mtu anakuwa mfuasi wa fisadi ujue kuna mambo hayako sawa katika hiyo jamii(mifumo yote kuanzia ya kijamii,kisiasa na kiuchumi inakuwa mibovu).
Ukiruhusu ideologies kama class struggle and survival of the fittest, ujue kwamba ni anguko.Hii michezo haina mjanja ukiwahiwa kwisha habari yako.Mpaka ukainuke tena wenzio wanakuwa hatua nyingi mbele
Kazi kweli kweli lakini sio mbaya.Kama itashindikana nadhani twende na approaches kama survival of the fittest,tribalism,regionalism and class struggle tuone labda tunaweza kupata kitu cha tofauti.Maana hii inachosha.Kuna hali unaona mtu anashingilia dhuluma ya wazi kwa sababu aliyefanyiwa sio mwenzake katika vyama vya kisiasa,dini n.kUzalendo Mimi huwa unanishinda.
Noma sana mkuu.Kazi kweli kweli lakini sio mbaya.Kama itashindikana nadhani twende na approaches kama survival of the fittest,tribalism,regionalism and class struggle tuone labda tunaweza kupata kitu cha tofauti.Maana hii inachosha.Kuna hali unaona mtu anashingilia dhuluma ya wazi kwa sababu aliyefanyiwa sio mwenzake katika vyama vya kisiasa,dini n.k
Inachosha sana hii ndio maana nikapenda kujua tatizo letu ni nini hasa?tunaelewa uzalendo kweli au kila mtu ana tafsiri yake tujuzane
Mzalendo, anatakiwa kupenda, kutii, kuhudumia, kutumikia, hata kulifia taifa lake.Habari za wakati huu.
Nipo hapa baada ya kupata wakati mgumu kuelewa watanzania ni watu wa namna gani ndio maana nimekuja na mada hii.
Kuna kitu huwa tunaelezwa ambacho ni uzalendo.Kwa tafsiri yangu ambayo inaweza isiwe universal.Uzalendo(patriotism) ni mapenzi ambayo mtu anakuwa nayo kwa taifa lake.Mtu huyu ataitwa mzalendo na atalipenda taifa lake kwa kuheshimu sheria na taratibu za taifa husika,tamaduni,historia na mambo yote katika taifa husika ambayo yamekubalika na watu wote.
Kwa Tanzania hili jambo ni tofauti.Watu wanachanganya mapenzi kwa viongozi wa taifa na uzalendo.Mtu akiwa sio mfuasi wa kiongozi husika katika taifa anaokena sio mzalendo(hii ni shida kubwa).Kiongozi utawala wake unakuwa na ukomo lakini taifa linabaki.Sasa ni kwanini watu mnachagua ku-pledge loyalty kwa viongozi na sio taifa?
Mwaka 2013 nikiwa katika mafunzo ya kijeshi 824 KJ tulifundishwa somo la uzalendo.Somo lilikusudia kutufunza kupenda taifa letu(nashukuru Mungu kuna kitu nilijifunza).Serikali ilikuwa inatenga bajeti nzuri kiasi kwamba tulikuwa tunahudumiwa vizuri,ikiwa pamoja na kupatiwa posho za kujikimu.Ni gharama kubwa zinatumika.Hizi ni kodi za watanzania.Lakini je,mbona neno uzalendo linatumika vibaya hapa kwetu?kuna sababu gani ya kutenga tena hizi bajeti kupeleka vijana mafunzo ya JKT wakajifunze uzalendo wa kupenda viongozi na sio taifa?
Tutafakari kwa pamoja hapa.Mapenzi kwa viongozi hayakatazwi lakini mahaba yakizidi tunapoteza taifa.Mapenzi kwa taifa ndio ya kweli na ndio ujenzi wa taifa letu.
Asante na siku njema
Sasa hiki kitu inaitwa ubinafsi na ndio maana kuna muda naona ifike hatua kama hili neno uzalendo linakuwa gumu turuhusu kabisa mambo kama ubinafsi yatawale,dhuluma na mengineyo labda tunaweza kupata tunachotaka au unasemaje kiongoziMzalendo, anatakiwa kupenda, kutii, kuhudumia, kutumikia, hata kulifia taifa lake.
Shida inaanza, pale unapobaki peke yako gari linaenda kasi na wengine wote wameruka, wanakushangaa utakavyojinamiza na kuangamia.
Sifikiri chochote, labda siku zitaamua, boss or natural circumstance.Sasa hiki kitu inaitwa ubinafsi na ndio maana kuna muda naona ifike hatua kama hili neno uzalendo linakuwa gumu turuhusu kabisa mambo kama ubinafsi yatawale,dhuluma na mengineyo labda tunaweza kupata tunachotaka au unasemaje kiongozi
Fine then, tuache muda uamue nimeona,lakini hii safari inaweza kuumiza wengi ya kusubiri mudaSifikiri chochote, labda siku zitaamua, boss or natural circumstance.