Mzamiru Yassin Kiungo Punda ndio mido mzawa bora kwa sasa

Mzamiru Yassin Kiungo Punda ndio mido mzawa bora kwa sasa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
774cc3d3e25f45efa6811eb044159245_313814308_1543653626083160_284455858161894636_n.jpg

Mtu akifanya vizuri tumsifie. Ndio lengo la kuanzisha tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Simba Sc. Mbali na kulamba milioni 2 ni heshima kwa mchezaji mwenyewe.

Leo Mzamiru ametangazwa kuwa mchezaji bora akiwashinda Onyango na Okrah Magic

Kwa maoni yangu na mtazamo wangu huyu ndio kiungo mkabaji bora kwa sasa kwa upande wa wazawa.
 
View attachment 2406073

Anasaka mkataba mpya huyo akiupata tu! Anarudi kwenye kiwango chake cha siku zote

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Leo mnampamba kweli kweli! Cha kushangaza miezi michache tu iliyopita, mlikuwa mnamlaumu kwa kuchomesha na kutoa pasi zisizo na macho.

Hakika aliyewaita mbumbumbu hakukosea.
 
Leo mnampamba kweli kweli! Cha kushangaza miezi michache tu iliyopita, mlikuwa mnamlaumu kwa kuchomesha na kutoa pasi zisizo na macho.

Hakika aliyewaita mbumbumbu hakukosea.
Na ndio sababu akabadilika na kuwa mzuri. Akikosea tena tutamponda ajirekebishe. Ndio utamaduni wa Simba. Vipi nyie si bado mnamsifia Aziza kwa kumfunga Manula?
 
Mzamiri Amekomaa sasa.

Amekuwa mkubwa, Tabia za Kikubwa nk.

1. Haumii.
2. Hachoki.
3. Anakimbia kilomita zaidi ya 15.
4.Anapora sana Mipira.

MASIKINI MUNGU HAKUPI VYOTE, MZAMIRU ANAONGOZA KWA KUPOTEZA MIPIRA.
ANACONTROL MBOVU SANA.
PASSING YAKE NI MBOVU MNO.

Ningetamani uwezo wa MZAMIRU ulivyo, ila ANGEKUWA kama Chama.
Au chama kama MZAMIRU.
 
View attachment 2406073

Mtu akifanya vizuri tumsifie. Ndio lengo la kuanzisha tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Simba Sc. Mbali na kulamba milioni 2 ni heshima kwa mchezaji mwenyewe.

Leo Mzamiru ametangazwa kuwa mchezaji bora akiwashinda Onyango na Okrah Magic

Kwa maoni yangu na mtazamo wangu huyu ndio kiungo mkabaji bora kwa sasa kwa upande wa wazawa.
Naunga Mkono hoja
 
Nashauri uongozi wa Simba uboreshe mkataba wake haraka iwezekanavyo hii ni pamoja na kumwongezea muda. The guy is on fire fire kweli kweli....

Tena angekuwa mzima ile simu ya Azam aisee tungeongea mengine - Ushindi wa Azam ni pale dimba la kati walipakamata balaa.

anaweza kupata dili kucheza timu yoyote Ufaransa mwishoni mwa msimu.... afu Simba ikakosa compensations.
 
Ule mpira wa juzi na Mtibwa naona wewe hukuutazama
Kwahiyo mzamiru kacheza game hiyo tu, tumuhukumu kwenye game ambayo timu pinzani pungufu.. Juma mgunda toka aje anapaki basi, anashambulia kwa counter, hushangai siku ile hata simba hakushambulia kwa kaunta ni upungufu wa wapinzani wetu ukapunguza makali yao, tujitahidi kumtizama game ijayo.

Mzamiru hatimizi majukumu ya namba nane, hachezeshi timu, hana commanding, timu icheze kutokana na yeye, hakimbii kufata mpira muda mwingi, anaweza piga pasi akatembea.
 
Back
Top Bottom