Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Leo umejichanganya mkuu this is not your normal playground...Mchezaji yoyote aliyefundishwa mpira kwanza anatakiwa aelewe eneo lake na majukumu yake. Mfumo wowote uwanjani utakao chezwa hauondoi Jukumu lako la Msingi Ili timu iwe na balance.
Kinachofuatia ni ku switch kulingana na ushambuliaji na uzuiaji na utaelekezwa wapi unatakiwa u switch na katika mazingira gani.
Sasa ndugu Mbumbumbu umesema mzamiru ni kiungo mzuri wa ulinzi anayeshambulia naomba takwimu zake ana Assist ngapi katika michezo yake yote Yani bila kujali ni mashindano gani.
Nieleze Mzamiru ni Bora katika Nini, yaani pasi za mwisho au kitugani!!
Ambapo utaongea Pumba watu wanakuacha tu.
Majukumu hayafungwi kwenye position, positional play inaelekea kufa jiupdate.
Nadhani tujikite kwenye hoja kuitana Mbumbumbu au Utopolo hakutasaidia.