Mzamiru Yassin Kiungo Punda ndio mido mzawa bora kwa sasa

Mzamiru Yassin Kiungo Punda ndio mido mzawa bora kwa sasa

View attachment 2406073

Mtu akifanya vizuri tumsifie. Ndio lengo la kuanzisha tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Simba Sc. Mbali na kulamba milioni 2 ni heshima kwa mchezaji mwenyewe.

Leo Mzamiru ametangazwa kuwa mchezaji bora akiwashinda Onyango na Okrah Magic

Kwa maoni yangu na mtazamo wangu huyu ndio kiungo mkabaji bora kwa sasa kwa upande wa wazawa.
Kiungo punda wapo wengi tu hapo ukoloni ni suala la muda tu
 

Attachments

  • Kiungo.jpg
    Kiungo.jpg
    73.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom