redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Sasa Muzamiru anakuwaje box to box wakati hawezi kusogea mita 2/3 na mpira, asilimia 50% back pass, anaweza kupiga pass Mkaaa mpaka 6/7 inawezekana vipi akawa box to box.
Mzamiru unamuona maeneo mengi kwakua ni kiungo punda, anazurula uwanjani na unaweza Kuta ana Kadi nyingi za njano kuliko Beki yoyote wa Simba kwakua anachelewa kufika kwenye majukumu analazimika kufanya faul zisizo na tija.
Mchezaji wa kisasa anatakiwa kwanza ajue eneo lake na alimudu Kwa ufasaha mengine yatakuja ziada.