Mzamiru Yassin Kiungo Punda ndio mido mzawa bora kwa sasa

Mzamiru Yassin Kiungo Punda ndio mido mzawa bora kwa sasa

K
Nashauri uongozi wa Simba uboreshe mkataba wake haraka iwezekanavyo hii ni pamoja na kumwongezea muda. The guy is on fire fire kweli kweli....

Tena angekuwa mzima ile simu ya Azam aisee tungeongea mengine - Ushindi wa Azam ni pale dimba la kati walipakamata balaa.

anaweza kupata dili kucheza timu yoyote Ufaransa mwishoni mwa msimu.... afu Simba ikakosa compensations.
Kaka Kuwa serious kidogo 😂
 
Na ndio sababu akabadilika na kuwa mzuri. Akikosea tena tutamponda ajirekebishe. Ndio utamaduni wa Simba. Vipi nyie si bado mnamsifia Aziza kwa kumfunga Manula?
Hapo mwisho ungeandika hivi;

"Vipi nyie si bado mnamsifia Aziz Kii kwa kumfunga Aisha?"
 
Kiungo punda kiukweli amezaliwa upya, kila sehemu yupo yani na hata pasi zake kwa sasa zinaonekana.
 
Hongera kwake Aluta continua
Yani kumbe Simba ina dau kubwa hivyo kwa mchezaji bora wake wa mwezi. Nasikia mchezaji bora wa ligi kuu hupewa milioni moja 🙄
 
hili swala la pasi mkaa umeshalalamika sana nimekuona,hata mimi naungana na wewe Muzamir pasi zake azina macho anapoteza sana pasi.
Kweli kabisa hata mechi ya mwisho alipoyezea pasi kwenye nyavu za Mtibwa
 
Nasemaje........
Mzamiru ndio kiungo bora wa kati kuwahi kucheza Bongo kwenye hizi 2010s.
Kama yupo mwingine nioneshwe tafadhali.
 
Tuzo ya mchezaji bora mzawa msimu huu anastahiri
 
Mzamiru Yasin ndio kiungo mkabaji bora zaidi kwa sasa kwenye ligi yetu hii sio kwa wazawa tu kiufupi kwa sasa hakuna kama mzamiru
 
Unapo Sema Mzamiru ni kiungo Bora inatakiwa ahusike kwenye kuzuia au kushambulia inategemea kama ni namba sita au nane.
Ukiangalia Simba ikiwa inashambuliwa maranyingi shambulizi linaishia golini Kwa Simba yaani shambulizi la adui linafika mwisho.
Ukiangalia Simba ikishambulia katika mashambulizi matatu anaweza asihusike yote au akahusika Moja Sasa ubora wa Muzamiru upo kwenye kuzuia au kushambulia.
Kiungo wa ulinzi anatakiwa awe anailinda difence muda wote yaani kabla ya Inonga na Josh awajakutana na mshambuliaji awe yeye amefika au awe amesogea Kwa difender kutoa usaidizi.
Kwenye Transition awe wakwanza kuhakikisha mpira unawahi kutoka kuelekea mbele.
Mzamiru tatizo alilonalo muda mwingi kutokua katika eneo lake inamaababishia kucheza faul nyingi na Kadi.
Mzamiru yeye ni kiungo punda anakimbia Kila mpira ulipo Sasa soka la kisasa linataka uelewe eneo lako la Msingi na uwe master wa eneo ilo.

Unaposikia Ya Nick Bangala fundi ni kwasababu hakimbii hovyo ila kwenye eneo lake anaiba mipira mingi na anajua kuitawanya Kwa wakati haitaji kukimbia na mpira.
 
HUJUI MAANA YA BOX TO BOX.

INSHORT HUJUI MPIRA.

Mechi ya Simba na Yanga Bangala alikimbia uwanjani.
 
Back
Top Bottom