OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Anasaka mkataba mpya huyo akiupata tu! Anarudi kwenye kiwango chake cha siku zoteView attachment 2406073
Mtu akifanya vizuri tumsifie. Ndio lengo la kuanzisha tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Simba Sc. Mbali na kulamba milioni 2 ni heshima kwa mchezaji mwenyewe.
Leo Mzamiru ametangazwa kuwa mchezaji bora akiwashinda Onyango na Okrah Magic
Kwa maoni yangu na mtazamo wangu huyu ndio kiungo mkabaji bora kwa sasa kwa upande wa wazawa.
Bora hata wewe umesimama kwenye ukweli.Anajitahidi kukaba, ila pasi mikaa ni nyingi mnoo.
Na ndio sababu akabadilika na kuwa mzuri. Akikosea tena tutamponda ajirekebishe. Ndio utamaduni wa Simba. Vipi nyie si bado mnamsifia Aziza kwa kumfunga Manula?Leo mnampamba kweli kweli! Cha kushangaza miezi michache tu iliyopita, mlikuwa mnamlaumu kwa kuchomesha na kutoa pasi zisizo na macho.
Hakika aliyewaita mbumbumbu hakukosea.
Yule ni mtu sio jiwe. Au wewe mkuu huwa hubadiliki kivitendo na kimwenendo?Leo mnampamba kweli kweli! Cha kushangaza miezi michache tu iliyopita, mlikuwa mnamlaumu kwa kuchomesha na kutoa pasi zisizo na macho.
Hakika aliyewaita mbumbumbu hakukosea.
Naona msimu huu ame improve sanaAnajitahidi kukaba, ila pasi mikaa ni nyingi mnoo.
hili swala la pasi mkaa umeshalalamika sana nimekuona,hata mimi naungana na wewe Muzamir pasi zake azina macho anapoteza sana pasi.Anajitahidi kukaba, ila pasi mikaa ni nyingi mnoo.
Naunga Mkono hojaView attachment 2406073
Mtu akifanya vizuri tumsifie. Ndio lengo la kuanzisha tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Simba Sc. Mbali na kulamba milioni 2 ni heshima kwa mchezaji mwenyewe.
Leo Mzamiru ametangazwa kuwa mchezaji bora akiwashinda Onyango na Okrah Magic
Kwa maoni yangu na mtazamo wangu huyu ndio kiungo mkabaji bora kwa sasa kwa upande wa wazawa.
Ameshasaini msimu huu..acha kupotoshaAnasaka mkataba mpya huyo akiupata tu! Anarudi kwenye kiwango chake cha siku zote
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Ule mpira wa juzi na Mtibwa naona wewe hukuutazamaAnajitahidi kukaba, ila pasi mikaa ni nyingi mnoo.
Kwahiyo mzamiru kacheza game hiyo tu, tumuhukumu kwenye game ambayo timu pinzani pungufu.. Juma mgunda toka aje anapaki basi, anashambulia kwa counter, hushangai siku ile hata simba hakushambulia kwa kaunta ni upungufu wa wapinzani wetu ukapunguza makali yao, tujitahidi kumtizama game ijayo.Ule mpira wa juzi na Mtibwa naona wewe hukuutazama