makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kaka Kuwa serious kidogo 😂Nashauri uongozi wa Simba uboreshe mkataba wake haraka iwezekanavyo hii ni pamoja na kumwongezea muda. The guy is on fire fire kweli kweli....
Tena angekuwa mzima ile simu ya Azam aisee tungeongea mengine - Ushindi wa Azam ni pale dimba la kati walipakamata balaa.
anaweza kupata dili kucheza timu yoyote Ufaransa mwishoni mwa msimu.... afu Simba ikakosa compensations.
Acha uchawiAnasaka mkataba mpya huyo akiupata tu! Anarudi kwenye kiwango chake cha siku zote
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
hutaki au ?Kaka Kuwa serious kidogo 😂
Ufaransa, yaani unamaanisha ligue 1.. Sitaki 😂hutaki au ?
Naona tatizo hilo limepungua.Anajitahidi kukaba, ila pasi mikaa ni nyingi mnoo.
Umekula Mihogo lakini?Leo mnampamba kweli kweli! Cha kushangaza miezi michache tu iliyopita, mlikuwa mnamlaumu kwa kuchomesha na kutoa pasi zisizo na macho.
Hakika aliyewaita mbumbumbu hakukosea.
Hapo mwisho ungeandika hivi;Na ndio sababu akabadilika na kuwa mzuri. Akikosea tena tutamponda ajirekebishe. Ndio utamaduni wa Simba. Vipi nyie si bado mnamsifia Aziza kwa kumfunga Manula?
Mgunda anapiga counter attack, kidoogo inamfichia makosa sababu hawauchezi mpira saana, ila tukirudi kwenye mchezo wetu wa pasi 20 goli, hamna kitu kabisaaaNaona tatizo hilo limepungua.
Kweli kabisa hata mechi ya mwisho alipoyezea pasi kwenye nyavu za Mtibwahili swala la pasi mkaa umeshalalamika sana nimekuona,hata mimi naungana na wewe Muzamir pasi zake azina macho anapoteza sana pasi.
MVP Yanick BangalaNasemaje........
Mzamiru ndio kiungo bora wa kati kuwahi kucheza Bongo kwenye hizi 2010s.
Kama yupo mwingine nioneshwe tafadhali.
Unapo Sema Mzamiru ni kiungo Bora inatakiwa ahusike kwenye kuzuia au kushambulia inategemea kama ni namba sita au nane.
Ukiangalia Simba ikiwa inashambuliwa maranyingi shambulizi linaishia golini Kwa Simba yaani shambulizi la adui linafika mwisho.
Ukiangalia Simba ikishambulia katika mashambulizi matatu anaweza asihusike yote au akahusika Moja Sasa ubora wa Muzamiru upo kwenye kuzuia au kushambulia.
Kiungo wa ulinzi anatakiwa awe anailinda difence muda wote yaani kabla ya Inonga na Josh awajakutana na mshambuliaji awe yeye amefika au awe amesogea Kwa difender kutoa usaidizi.
Kwenye Transition awe wakwanza kuhakikisha mpira unawahi kutoka kuelekea mbele.
Mzamiru tatizo alilonalo muda mwingi kutokua katika eneo lake inamaababishia kucheza faul nyingi na Kadi.
Mzamiru yeye ni kiungo punda anakimbia Kila mpira ulipo Sasa soka la kisasa linataka uelewe eneo lako la Msingi na uwe master wa eneo ilo.
Unaposikia Ya Nick Bangala fundi ni kwasababu hakimbii hovyo ila kwenye eneo lake anaiba mipira mingi na anajua kuitawanya Kwa wakati haitaji kukimbia na mpira.