View attachment 2406073
Mtu akifanya vizuri tumsifie. Ndio lengo la kuanzisha tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Simba Sc. Mbali na kulamba milioni 2 ni heshima kwa mchezaji mwenyewe.
Leo Mzamiru ametangazwa kuwa mchezaji bora akiwashinda Onyango na Okrah Magic
Kwa maoni yangu na mtazamo wangu huyu ndio kiungo mkabaji bora kwa sasa kwa upande wa wazawa.